Rais Kenyatta ampa Zawadi Ng'ombe 50 Rais wa Burundi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,206
4,696
Rais Evaristo Ndayishiye wa Burundi aliyepo ziarani nchini Kenya amepatiwa zawadi ya Ng'ombe 50 na Mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo Kisumu nchini Kenya

=====

Uhuru's Special Gift for Burundi President
By Lisa Sigei on 31 May 2021 - 5:26 pm

President Uhuru Kenyatta and his Burundi counterpart Evariste Ndayishimiye commissioning the KSL in Kisumu on May 31, 2021.

President Uhuru Kenyatta and his Burundi counterpart Evariste Ndayishimiye commissioning the KSL in Kisumu on May 31, 2021.
Twitter, KDF

President Uhuru Kenyatta, presented 50 heifers to his Burundi President Evariste Ndayishimiye, at the State Lodge, Kisumu on Monday 31, 2021.

In a video seen by Kenyans.co.ke, the two heads of state are seen chatting as they walk side by side inspecting the cows.

Upon seeing the gifts, he turned to Uhuru and expressed his gratitude. President Uhuru replied by stating "You are welcome, I was told, a promise is a debt."

President Ndayishimiye and first Lady Angeline Ndayubaha arrived in Kisumu where they were received by President Uhuru and first lady Margaret Kenyatta.

The Burundi head of state is the Guest of Honor for the Madaraka day celebrations set to take place on Tuesday, June 1, at the Jomo Kenyatta International Stadium in Kisumu.

Earlier in the day, they unveiled that the two countries had signed a number of Memoranda of Understanding in a bid to enhance collaboration between the two countries.

Ndashimiye urged Kenyans to capitalize on the investments in Burundi.

He also emphasized the quick implementation of the MOUs signed. He expressed his commitment to strengthening business ties between the two countries.

The two countries vowed to collaborate on matters agriculture, livestock, fisheries, foreign affairs, and education.

In 2019, President Uhuru visited Tanzania after a misunderstanding between the two neighbours. Tanzania had threatened to take diplomatic actions against Kenya.

After discussions between the two leaders, the Late President Magufuli gifted Uhuru a peacock. He stated that the gift would symbolize understanding and peaceful co-existence between the two countries.

On a light note, the president stated that he had never given his peacocks to any head state.

Source: Kenyans.com
 
Hawa wakubwa ni kawaida yao kumiliki ngo'mbe,mimi nilijua ni Tz tu kumbe hata Kenya? Kule chato kuna eneo moja kubwa sana lina ngo'mbe zaidi ya 2000 nyingine zipo Nyakanazi zaidi ya 900 na zote hizo ni za mtu mmoja.

Kuna mjomba wangu mmoja alipata nafasi ya kujipenyeza kuingia kwenye hiyo chain wakati huo akiwa na Ngo'mbe 50 tu, lakini sasahivi ngo'mbe alionanao ni kufru.
 
Baada ya Magufuli kufariki Kenya ndio wameanza kufurukuta,seems walitumia Sana kwenye utawala wake

Kuna huu uzi naufuatlia unachekesha sana, yaani comments humo, mama ni mjanja sana na sio mkaidi, hataki kuhusisha nchi kwenye msiba wa kitaifa kama aliyemtangulia.
 
Kuna jamaa wachoyo sana duniani.Yaani wenzao wakizawadiana ngombe hamsini wao wanazawadiana tausi watatu unusu. 😎 R.I.P Jembe la kweli.
 
Back
Top Bottom