Rais katoka mbali na Mh. Prof Mwandosya hebu cheki hii picture

satellite

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
616
164
Kikwete na mwandosya.jpg
Hii inadhihirisha jinsi gani rais wetu hawezi kuwatupa mabest wake wa enzi hizo hata kama watakua wagonjwa kiasi gani,hapa enzi hizo za ujana wao
 
Yuko radhi awape ulaji hata kama wako hoi kitandani,sio siri huyu best yake bado ni mgonjwa na alipaswa apumzike sema ni kaupepo tu.....
 
"Nitajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kutimiza wajibu wangu kwa Mwenyezi Mungu na Taifa langu, kuwahudumia watu siku zote na mahali popote na kuzitii kanuni za skauti". Hii ni ahadi/ kiapo cha maskauti duniani. Laiti JK angepitia japo skauti angejitahidi kuwa mzalendo.
 
"nitajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kutimiza wajibu wangu kwa mwenyezi mungu na taifa langu, kuwahudumia watu siku zote na mahali popote na kuzitii kanuni za skauti". Hii ni ahadi/ kiapo cha maskauti duniani. Laiti jk angepitia japo skauti angejitahidi kuwa mzalendo.

ndicho kiapo ninachotembea nacho
 
Yuko radhi awape ulaji hata kama wako hoi kitandani,sio siri huyu best yake bado ni mgonjwa na alipaswa apumzike sema ni kaupepo tu.....

Nafikiri JK anajia kinachomsibu Mwandosya na anafahamu umuhimu wa huyu Bwana nadani ya Serekali yake ndo maana pamoja na kuugua kwake, imebidi ampe nafasi ili aweze kujikimu kwani matatizo yake yametokea akiwa kazini na yawezekana chanzo chake kinajulikana
 
View attachment 54499
Hii inadhihirisha jinsi gani rais wetu hawezi kuwatupa mabest wake wa enzi hizo hata kama watakua wagonjwa kiasi gani,hapa enzi hizo za ujana wao

Ama kweli watu wakiamua kufuatilia jambo, hawakosi sababu. Umejitahidi kutafuta mpaka umepata piche hii.
Hebu tuambie hiyo picha ilikuwa yo mwaka gani, walitoka wapi na walikuwa wanaenda wapi na kwa sababu gani.
 
"Nitajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kutimiza wajibu wangu kwa Mwenyezi Mungu na Taifa langu, kuwahudumia watu siku zote na mahali popote na kuzitii kanuni za skauti". Hii ni ahadi/ kiapo cha maskauti duniani. Laiti JK angepitia japo skauti angejitahidi kuwa mzalendo.

Kapita huko hd JKT ila tu sema ukaidi ndo unaompa kiburi
 
Back
Top Bottom