Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.
 
Hizo taarifa za ndani zina uhakika gani kuzidi za informer wa Rais? Kutenguliwa uteuzi wa mtu si mpaka ufanye madudu! Rais anaweza akaona amuweke mwingine tuu!

Halafu hebu twambie muda wote huo alikuwa anaishi vipi? Kwanini badala ya maombi yake kukataliwa hakuamua kuacha kazi? Ni kweli toka 2013 ana jitolea tuu? Hivi unataka kutuaminisha kuwa alikuwa halipwi chochote wala kujilipa chochote? Hivi kwanini tusiseme huyu Binti ni mjinga mjinga sana?
 
Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

What a joke?
April-2013
2014
2015
Miaka miwili bado wanafanya review ya Mishahara naye anaendelea tu kufanya kazi?
Sasa eti JP kakurupuka? Acheni masihara huyu Mama pamoja na Elimu yake kunatatizo mahali au analengo /plan yake!
 
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.
Kama ndiyo style ya uongozi wa JPM, yaani mtu anahukumiwa na kuadhibiwa bila kujitetea, nchi itaelekea kusiko.
 
NASEMA DADA WALA HAJAONEWA.MSIPENDE KUTAKA KILA KITU KIWE WAZI ILI KUTAKA KUMDHALILISHA.

TUNAJUA KILICHOKUWA KIKIENDELEA JUU YA WAWEKEZAJI FULANI.

MFANO KWANINI KAMPUNI YE ECO ENERGY ILIPOPEWA SHAMBA KULIMA SUKARI BAGAMOYO IMEPITA MIAKA 10 HAKUNA KINACHOFANYIKA NA TIC IKIWEPO??

KUWENI MAKANI KWANI RAIS AKIANIKA KILA KITU WATU WATADHALILIKA. KUMBUKA WENGINE WANA WATOTO NA FAMILIA ZINAZOHESHIMIKA NCHINI
 
Hizo taarifa za ndani zina uhakika gani kuzidi za informer wa Rais? Kutenguliwa uteuzi wa mtu si mpaka ufanye madudu! Rais anaweza akaona amuweke mwingine tuu!
Taarifa rasmi iliyotolewa na Katibu wa Wizara imesema wazi kuwa sababu ya kutenguliwa kwake ni "kutochukua mshahara wa serikali tangu alipoajiriwa jambo ambalo linazua maswali mengi".
 
Sioni kosa la Magufuli, hapo mwenye kosa ni JK alikubali vipi kufanya kazi Na mtu asiekubaliana Nae matakwa yake.

Ndio maana tunasema serikali ya JK ilikuwa ya kishikiji, Matokeo yake ndio haya.

Huyu mama alikuwa anafanya kazi kishikaji shikaji kisa wanaelewana Na JK.
 
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.
Msuituchanganye watanzania na story za kupika kama South Africa kuna mshahara mkubwa arudi tu uko akafanye kazi haiwezekani mkuu wa taasisi ya wizara flani awe na mshahara mkubwa kuliko waziri
Si alimuomba Jk arudi arudi tu sasa magufuli ateue mwingine akimkosa aniteue mimi tu kazi itAenda vizuri tu kwani lazima awe yeye,
 
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.
Tangu mapema watu wa hekima walisema Magu anatakiwa awe chini ya mtu.Ona anavyo fanya
 
Back
Top Bottom