Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,208
mtutsi kabisa na mkewe mtutsi acheni kudanganywa
Tanzania yamebakia majungu tu......
Kweli, hawa ni wakuchunguza, yaani wabongo wanasota kwa kukosa ajira kumbe nafasi zimejazwa na Wanyarwanda. Halafu ukiangalia, wengi wao hawana uchungu na nchi hii japo wameshikiria nafasi nyeti. Kwa hali hii, URAIA wa nchi mbili tuukatae ili tuweze kuwabana hapo baadaye.

Wabongo majungu na wivu ndio jadi yetu hata tu kufikirisha vichwa hatutaki. Kwa taarifa yako hata wewe hapo ulipo kama una ujuzi kwenye sekta ya afya, elimu, miundombinu au una uwezo wa kuwekeza kwenye sekta hizo, Kagame anakukaribisha na kukupatia ajira siku hiyo hiyo. Kama ni mwekezaji siku hiyo hiyo unapata vibali vyote na ardhi/ eneo utakalowekeza bure! Kagame anachotaka ni brain yako haangalii utaifa sijuwi uraia kwake havina nafasi ili mradi unaweka impact katika maendeleo ya nchi yake.
Ndio maana anakupa kazi asubuhi, ukicheza jioni anakufukuza, he mean business.
wadanganyika bana! Huoni kwamba hata jina ni la kinyarwanda? Huyo mdogo wake anajikinga ili asije kuulizwa kibali cha kuishi nchini. Kagame sio mjinga ampe mtanzania uwaziri tuacheni uzushi.
hata mtoto mdogo ukimuonyesha tu picha ya huyu jamaa atakwambia 98% huyu ni mnyarwanda
dah mungu mbariki xana