Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

Ukianza kusaidia watu wenye uchumi wa kati, eventually utaongeza watu wenye uwezo wa kusaidia wengine na methodically utanyanyua hata wa uchumi wa chini.

Ukitaka kuanza kwa kusaidia watu wote kwa mpigo, hutapata hata nafasi ya kuanza. Watu hao ni wengi sana.

Tz bado wapo kwenye kujenga zahanati na madarasa... Kwa kifupi sekta ya afya na elimu bado nichangamoto.... tupo nyuma sn kimaendeleo...

Hadi kufikia serikali Ina Jenga maghorofa na kugawa, kuuza au kupangisha apartments ni muda mrefu wa kuja kufanyika...
 
Mbona Tanzania haya yalishafanyika tangu miaka ya 1970's tunavyo vituo vya kulelea Wazee wasiojiweza karbia 10 Nchi nzima. Kipo kule Njiro Moshi, Kigoma kipo, Mwanza kipo, Lindi, Dar kipo nk nk. Wazee wote waliopo kituoni wanapata Chakula, Huduma za Malazi, Matibabu nk nk kwa gharama za Serikali kwa 100% miaka yote tangu Uhuru. Sasa hizo Showoff za Kagame za mwaka 2021 zinawatoa poooooovu kumbe Tanzania ishamaliza hizo mambo miaka 50 iliyopita tatizo wengi wenu hamvijui hata hivyo vituo ndio maaana mmebaki kusifia Wanaume wengine toka Nchi nyingine! Tembeleeeni vituo vya Wazee wasiojiweza mpate baraka na mjionee Serikali chini ya Wizara ya Afya inavyotoa huduma kwa babu na bibi zenu.
 
Unaongelea kambi za wazee au kambi za wagonjwa wa ukoma? Hizo nyumba za wazee zipo Kama zimetelekezwa na maisha yao Ni magumu sn ktk hizo kambi

Umeongelea ujenzi kipindi Cha Nyerere lkn awamu ya nne zikauzwa hizo nyumba na ukafanyika ufisadi mkubwa ktk mashirika ya hifadhi za jamii kwa vigezo vya kufadhiri miradi ya majengo na maendeleo... Sasa Awamu hii serikali inawatumia tba na suma jkt kujenga majengo ya serikali badala ya kazi hizo kupewa sekta binafsi/ kampuni za ndani na wao wajikite ktk uboreshaji wa makazi ya raia na wafanyakazi kwa kushirikiana nhc na taasisi zingine

Unajua majukumu ya NHC?
Na Awamu hii zimejengwa nyumba ngapi za raia au wafanyakazi...

Tz bado sn, Yale yenyewe maghorofa mpya ya jeshi yamejengwa na mchina... Na inawezeka kwa mkopo au msaada...
 
kwahiyo wanyarwanda wote wasio na nyumba ndio wanaishi kwenye ivyo vibanda? acheni utani.
 
Kenya wameshafanya hivyo kama walivyofanya Rwanda...

Kama ujui kitu kaa kimya

Wewe mtz mpiga mapambio ht ule ujenzi wa pale magomeni Ni shida kuukamlisha, je mtaweza kugawa nyumba kwa raia?
Ninyi ni wale wapumbavu mnao shinda vijiweni mnaponda nchi yenu mliyo zaliwa ilihali huko nje mnako kusifia ukienda watu wake wanakwambi wanatamani waje waishi Tanzania..jinga ninyi msio na uzalendo na ardhi ya baba na babu zenu,mna laana nyie
 
Asante
 
Back
Top Bottom