Rais JPM, wapiga kura wako umewanyima madaktari

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,163
1,308
Ndugu watanzania , nashindwa kuelewa rais JPM alipowateua wakurugenzi wa wilaya , pamoja na maafisa tawala ilihali bado ameshidwa kutoa special consideration kwa madaktari wetu ambao wamesimamishwa kazi katika hospitali za kidini kama vili Bugando na KCMC ,
Je washauri wake hamkuliona hilo la madaktari ?,
 
Hii habari ni uongo imekanushwa leo pamoja na ya kuondoa posho kwa intern..

Watanzania wana miliki viwanda vya kutengeneza uongo.
 
Ndugu watanzania , nashindwa kuelewa rais JPM alipowateua wakurugenzi wa wilaya , pamoja na maafisa tawala ilihali bado ameshidwa kutoa special consideration kwa madaktari wetu ambao wamesimamishwa kazi katika hospitali za kidini kama vili Bugando na KCMC ,
Je washauri wake hamkuliona hilo la madaktari ?,

Peleka ujinga wako huko... Mnapenda kupika uongo halafu mnataka kila mtu auamini.... It does not make sense ie nonsense ..... Na uteuzi una uhusiano gani Ni madaktari hata Kama ingekuwa Kweli? Madaktari wangeenda kufanya Kazi ya wakutugenzi..? Kabla kuandika fikiria unachotaka kuandika na no ujumbe gani unataka uwafikie wahusika ..... This is rubish..
 
Back
Top Bottom