Rais Magufuli, usikubali huu mtego wa huyu waziri; atakuwa anatumiwa na mabeberu

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge.

Wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA, KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE
Ulisema, hela tayari zipo benki ya wakulima, zishaingizwa.

Ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua. Nchi hiii tayari kwa miaka 3 imejenga viwanda 3,000, tani 295,000 sio kitu kwetu

Ulikagua magari ya jeshi ukachungulia hadi uvunguni, ukatoa speech ya kishujaa kabisa, ukawatuma vijana kwenda mtwara na lindi KUPIGANA VITA YA KIUCHUMI.

Mheshimiwa Rais, ukikubali hili la huyu waziri anayetumiwa na mabeberu ina maana Kangomba watarudi tena, heshima yako itashuka sana na mabeberu watakuwa wanajua kumbe unatikisika kwa issue ndogo. Mbaya zaidi kwa mara ya kwanza JWTZ itakuwa imeshindwa vita katika historia yake na heshima ya CDF Mabeyo itashuka vibaya mnoooo maana ni juzi tu alitoa meli ikapigane vita hiyo ya kiuchumi kwa kubeba mzigo wa korosho.

Usikubali baba, endelea kukandamiza wanyonge wa kusini mtwara na lindi wanakukubali sana hadi walipiga magoti kwa yule mkuu wa mkoa.
 
Waziri kapata baraka zote!sema alishindwa kumtuma yule kiranja mkuu maana sikunile alivyomwambia mteja Mchina kishapatikana wa kununua korosho zote alimdharau na kumwambia aachane nao, sasa aibu leo kumwambia tena awarudie Wachina.
 
Waziri kapata baraka zote!sema alishindwa kumtuma yule kiranja mkuu maana sikunile alivyomwambia mteja mchina kishapatikana wa kununua korosho zote alimdharau na kumwambia aachane nao,sasa aibu leo kumwambia tena awarudie wachina
 
Inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge

Wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA, KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE
Ulisema, hela tayari zipo benki ya wakulima, zishaingizwa

Ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua
Nchi hiii tayari kwa miaka 3 imejenga viwanda 3,000, tani 295,000 sio kitu kwetu

Ulikagua magari ya jeshi ukachungulia hadi uvunguni, ukatoa speech ya kishujaa kabisa,ukawatuma vijana kwenda mtwara na lindi KUPIGANA VITA YA KIUCHUMI

Mheshimiwa Rais, ukikubali hili la huyu waziri anayetumiwa na mabeberu ina maana.

Kangomba watarudi tena, heshima yako itashuka sana na mabeberu watakuwa wanajua kumbe unatikisika kwa issue ndogo. Mbaya zaidi kwa mara ya kwanza JWTZ itakuwa imeshindwa vita katika historia yake na heshima ya CDF Mabeyo itashuka vibaya mnoooo maana ni juzi tu alitoa meli ikapigane vita hiyo ya kiuchumi kwa kubeba mzigo wa korosho

Usikubali baba, endelea kukandamiza wanyonge wa kusini mtwara na lindi wanakukubali sana hadi walipiga magoti kwa yule mkuu wa mkoa.
 
Sasa asikubali nini wakati pesa za kulipa hakuna na aliowatuma hawana uwezo...mtu anaweza kushika bunduki unampeleka akabangue korosho kweli..halafu watu wakihoji uhalali wa elimu wanapotea
 
*inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge
*wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA,KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE
*Ulisema ,hela tayari zipo benki ya wakulima,zishaingizwa
*ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua
*nchii hiii tayari kwa miaka 3 imejenga viwanda 3,000 ,tani 295,000 sio kitu kwetu
*ulikagua magari ya jeshi ukachungulia hadi uvunguni,ukatoa speech ya kishujaa kabisa,ukawatuma vijana kwenda mtwara na lindi KUPIGANA VITA YA KIUCHUMI
*Mheshimiwa Rais ,ukikubali hili la huyu waziri anayetumiwa na mabeberu ina maana. KANGOMBA WATARUDI TENA,HESHIMA YAKO ITASHUKA SANA NA MABEBERU WATAKUWA WANAJUA KUMBE UNATIKISIKA KWA ISSUE NDOOOOOGGGOOOOOO MBAYA ZAIDI KWA MARA YA KWANZA JWTZ ITAKUWA IMESHINDWA VITA KATIKA HISTORIA YAKE NA HESHIMA YA CDF MABEYO ITASHUKA VIBAYA MNOOOO MAANA NI JUZI TU ALITOA MELI IKAPIGANE VITA HIYO YA KIUCHUMI KWA KUBEBA MZIGO WA KOROSHO
*JPM USIKUBALI BABA, ENDELEA KUKANDAMIZA WANYONGE WA KUSINI MTWARA NA LINDI WANAKUKUBALI SANA HADI WALIPIGA MAGOTI KWA YULE MKUU WA MKOA.
We jamaa fala kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri kapata baraka zote!sema alishindwa kumtuma yule kiranja mkuu maana sikunile alivyomwambia mteja mchina kishapatikana wa kununua korosho zote alimdharau na kumwambia aachane nao,sasa aibu leo kumwambia tena awarudie wachina
Du! Ngoma mbona bado nzito sana kama kwa msimu huu tu nzigo wetu wa korosho utabanguliwa kuanzia miaka 2 hadi miaka 14
 
Hivi sisi Mabeberu mnatutakia nini? Kila kitu sisi tu kwanini? Kila mnachofanya kikileta mushkeli/mkekerii mnatusingizia sisi kwanini? Basi tusingizieni na watoto wenu ili muhalalishe ubeberu wetu.
 
Hatarii
IMG-20181231-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom