SafiiiiKasi ya Rais JPM inawatia kiwewe wafanya kazi wa sekta binafsi ambao ndio kuna kundi kubwa la watu wenye vyeti feki au vyeti visivyo vyao. Pia kuna kundi kubwa la wafanyakazi wasio na elimu wala vyeti wakilipwa mishahara mikubwa kuliko hata ya profesa wa chuo kikuu/kuliko hata msomi wa shahada ya kwanza aliyepo kazini hapo hasa migodini...kasi hii ya mweshimiwa isiishie tu serikalini na tasisi zake ije pia sekta binafsi ambapo kuna ombwe la udanganyifu wa taaluma na vyeti feki na ujanja ujanja mwingi...watu wenye weredi na taaluma zao hawathaminiwi. hivyo inawezekana hili ni jipu kuliko yote uthamani wa elimu hauonekani .Ili elimu ithaminiwe utaratibu wa kuhoji vyeti na cv ufanyike pia migodini. Necta na tume ya utumishi wafike sekta binafsi hasa migodini na operation kagua vyeti.
Ni aibu kwa taifa kundi kubwa la watu wanapotumia vyeti visivyo halali na wakaachwa.. Enzi za ujanja ujanja zimekwisha Rais wetu JPM twende kazi.
kwa nin unasema halimhusu mkuuSekta binafsi hawalipi mshahara kwa kodi za wananchi hivyo hilo la vyeti fake halimhusu Jpm. Cha msingi ni wao kufuata utaratibu na sheria za nchi katika uendeshaji wa miradi yao.
Mambo muhimu ya ku Note:Kasi ya Rais JPM inawatia kiwewe wafanya kazi wa sekta binafsi ambao ndio kuna kundi kubwa la watu wenye vyeti feki au vyeti visivyo vyao. Pia kuna kundi kubwa la wafanyakazi wasio na elimu wala vyeti wakilipwa mishahara mikubwa kuliko hata ya profesa wa chuo kikuu/kuliko hata msomi wa shahada ya kwanza aliyepo kazini hapo hasa migodini...kasi hii ya mweshimiwa isiishie tu serikalini na tasisi zake ije pia sekta binafsi ambapo kuna ombwe la udanganyifu wa taaluma na vyeti feki na ujanja ujanja mwingi...watu wenye weredi na taaluma zao hawathaminiwi. hivyo inawezekana hili ni jipu kuliko yote uthamani wa elimu hauonekani .Ili elimu ithaminiwe utaratibu wa kuhoji vyeti na cv ufanyike pia migodini. Necta na tume ya utumishi wafike sekta binafsi hasa migodini na operation kagua vyeti.
Ni aibu kwa taifa kundi kubwa la watu wanapotumia vyeti visivyo halali na wakaachwa.. Enzi za ujanja ujanja zimekwisha Rais wetu JPM twende kazi.
Haya ndio mawazo mgando.acha mawazo mgando.. kwa taarifa tu sekta binafsi inachangia pato la taifa sasa unaposema haimhusu nafikili hazikutoshi
hapa JPM anajenga nchi ni lazima mahali popote palipokuwepo na ujanja ujanja patumbuliwe ili kuweka nidham ktk taifa .. Lazima tasisi za kitaifa ziheshimiwe kwa michango yao. mfano Necta inapokuwa inatoa vyeti halafu vyeti hivyo visiwe na sifa badala yake vyeti vya kufoji na feki ndio viwe na sifa kunahaja gani ya kuendelea kuwa na chombo hiki NECTA?
Safi kama ni kweli tena safi sana ila sioni kuna mhusu vipi, vinginevyo itakuwa ni kurushana roho tu maana Serikalini kwenyewe hajafagia aka maliza.Safiiii
Kuna watu akili zao zipo nyetini mkuu hawatakuelewaSekta binafsi hawaangalii vyeti wanaangalia zaidi output. Hata kama una vyeti 10 lakini utendaji wako hauna tija, utalipwaje mshahara mzuri? Ujue kuwa unalipwa kutokana na unachozalisha. Kuna watu wamesoma sana, na kwao wanadhani vyeti vyao ndiyo performance. Kama umesoma sana, zalisha zaidi na kwa ufanisi zaidi kuliko mwenye elimu ndogo ili ulipwe zaidi.
Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilipoajiriwa Barrick nikiwa na Masters mshahara wangu mwaka wa kwanza ulikuwa chini ya kijana mwenye bachelor aliyekuwa amemaliza UDSM miaka karibia 4 baada ya mimi kumaliza. Mwaka wa pili ilipofanyika talent review niliongezewa kumzidi mshahara. Mwaka wa 4 mshahara wangu uliwazidi wazee walionitangulia kuanza kazi kwa karibu miaka 10, na wote wakiwa na Masters kama mimi. Mwaka wa 6 nilihama nikawa Manager wa utafiti wa mgodi na baadaye meneja nchi nikiwa na expatriate kadhaa chini yangu.
Tukazane kufanya kazi, vyeti ni hatua ya kwanza, ya muhimu zaidi ni utendaji kazi.
Mambo hayo kwenye sekta binafsi yanaweza kusimamiwa na professional bodies. Km rais anajambo akatumbue professional body iliyoshindwa kwakamata hao vishoka.acha mawazo mgando.. kwa taarifa tu sekta binafsi inachangia pato la taifa sasa unaposema haimhusu nafikili hazikutoshi
hapa JPM anajenga nchi ni lazima mahali popote palipokuwepo na ujanja ujanja patumbuliwe ili kuweka nidham ktk taifa .. Lazima tasisi za kitaifa ziheshimiwe kwa michango yao. mfano Necta inapokuwa inatoa vyeti halafu vyeti hivyo visiwe na sifa badala yake vyeti vya kufoji na feki ndio viwe na sifa kunahaja gani ya kuendelea kuwa na chombo hiki NECTA?
Kwani yeye mambo binafsi yanamuhusu nini?yeye aangalie kodi yake tu hayo mengine ya kwao waokwa nin unasema halimhusu mkuu
hujui ndio mwenye nchi
au unajihami nin
Sekta binafsi hawaangalii vyeti wanaangalia zaidi output. Hata kama una vyeti 10 lakini utendaji wako hauna tija, utalipwaje mshahara mzuri? Ujue kuwa unalipwa kutokana na unachozalisha. Kuna watu wamesoma sana, na kwao wanadhani vyeti vyao ndiyo performance. Kama umesoma sana, zalisha zaidi na kwa ufanisi zaidi kuliko mwenye elimu ndogo ili ulipwe zaidi.
Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilipoajiriwa Barrick nikiwa na Masters mshahara wangu mwaka wa kwanza ulikuwa chini ya kijana mwenye bachelor aliyekuwa amemaliza UDSM miaka karibia 4 baada ya mimi kumaliza. Mwaka wa pili ilipofanyika talent review niliongezewa kumzidi mshahara. Mwaka wa 4 mshahara wangu uliwazidi wazee walionitangulia kuanza kazi kwa karibu miaka 10, na wote wakiwa na Masters kama mimi. Mwaka wa 6 nilihama nikawa Manager wa utafiti wa mgodi na baadaye meneja nchi nikiwa na expatriate kadhaa chini yangu.
Tukazane kufanya kazi, vyeti ni hatua ya kwanza, ya muhimu zaidi ni utendaji kazi.
private vyeti sio dili. ndio maana ni nadra sana kuona CEO wa kampuni private ana PHD. private wanaajiri sometimes hata bila kuangalia vyeti . Jambo kubwa wanalo angalia ni uwezo wako kiutendaji.Kasi ya Rais JPM inawatia kiwewe wafanya kazi wa sekta binafsi ambao ndio kuna kundi kubwa la watu wenye vyeti feki au vyeti visivyo vyao.
Pia kuna kundi kubwa la wafanyakazi wasio na elimu wala vyeti wakilipwa mishahara mikubwa kuliko hata ya profesa wa chuo kikuu/kuliko hata msomi wa shahada ya kwanza aliyepo kazini hapo hasa migodini.
Kasi hii ya mheshimiwa isiishie tu serikalini na tasisi zake ije pia sekta binafsi ambapo kuna ombwe la udanganyifu wa taaluma na vyeti feki na ujanja ujanja mwingi.
Watu wenye weredi na taaluma zao hawathaminiwi. hivyo inawezekana hili ni jipu kuliko yote uthamani wa elimu hauonekani .Ili elimu ithaminiwe utaratibu wa kuhoji vyeti na cv ufanyike pia migodini.
Necta na tume ya utumishi wafike sekta binafsi hasa migodini na operation kagua vyeti.
Ni aibu kwa taifa kundi kubwa la watu wanapotumia vyeti visivyo halali na wakaachwa. Enzi za ujanja ujanja zimekwisha Rais wetu JPM twende kazi.