Mpaka kura zinasimamishwa kutangazwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Piter Mutarika alikuwa akiongoza kwa asilimia 39 akifuatiwa na mpizani mwingine Lazarus Chakwera akiwa na asilimia 31 huku Banda akitokea kwa mabali na asilimia19. Matokeo yamesimamishwa kuangazwa baada ya msemaji wa chama tawala Ken Msonda (Nape wa Malawi) kulalamika kwamba matokeo yalianza kutangazwa wakati bado watu wanapiga kura. "Kutangaza washindi wakati bado kura zinapigwa ni sawa kutangaza mshindi wa marathoni wakati kuna wenzake bado wanakimbia" alilalamika
Ikiwa ataangushwa Bi Banda atakuwa amekaa madarakani kwa miaka miwili tu kwani aliingia madarakani mwaka 2012 baada ya kifo cha rais Bingu wa Mutharika, kaka yake kiongozi wa DPP kushinda uchaguzi huu. Awali kulikuwa na habari kwamba polisi wamevamia nyumba ya Mutharika wakimtuhumukuiba kura yeye na chama chake.
My take: Hizi ni salamu tosha kwa Ccm, ukiona mwenzako ananyolewa.........?