Rais Joyce Banda na chama chake wanakaribia kuangushwa ktk uchaguzi Malawi!

Kaguta

JF-Expert Member
Jan 31, 2013
414
504
Mpaka kura zinasimamishwa kutangazwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Piter Mutarika alikuwa akiongoza kwa asilimia 39 akifuatiwa na mpizani mwingine Lazarus Chakwera akiwa na asilimia 31 huku Banda akitokea kwa mabali na asilimia19. Matokeo yamesimamishwa kuangazwa baada ya msemaji wa chama tawala Ken Msonda (Nape wa Malawi) kulalamika kwamba matokeo yalianza kutangazwa wakati bado watu wanapiga kura. "Kutangaza washindi wakati bado kura zinapigwa ni sawa kutangaza mshindi wa marathoni wakati kuna wenzake bado wanakimbia" alilalamika

Ikiwa ataangushwa Bi Banda atakuwa amekaa madarakani kwa miaka miwili tu kwani aliingia madarakani mwaka 2012 baada ya kifo cha rais Bingu wa Mutharika, kaka yake kiongozi wa DPP kushinda uchaguzi huu. Awali kulikuwa na habari kwamba polisi wamevamia nyumba ya Mutharika wakimtuhumukuiba kura yeye na chama chake.

My take: Hizi ni salamu tosha kwa Ccm, ukiona mwenzako ananyolewa.........?
 
Wala ccm hawaogopi rafiki yangu,kamati zote za ufundi ziko imara kuliko wakati wowote ule tangu Tanzania ipate uhuru,so don't take things for granted
 
mwakani tutajitahidi kurekebisha kasoro tulizogundua mwaka 2010 ikiwemo nguvu nyingi kuzielekeza kwenye kura za urais badala ya nguvu nyingi kuelekezwa kwenye ubunge na udiwani. Mwaka 2015 nguvu na watu maalum watateuliwa kusimamia majumuisho ya kura zote Kuanzia udiwani mpaka urais.
 
ndugu ccm iache kama ilivyo.Nenda Mbweni ukaulize BAKILI MULUZI SEC.ilipatikanaje.
 
ImageUploadedByJamiiForums1400778324.240486.jpg View attachment 159851

Hawa jamaa wanafanana sana akili zao
 
waombe msaada ccm ili waelekezwe nmna zuri ya kuiba kura .mwenzao uhuru kenyatta alifanya hivyo na leo ni raisi.
 
Wala ccm hawaogopi rafiki yangu,kamati zote za ufundi ziko imara kuliko wakati wowote ule tangu Tanzania ipate uhuru,so don't take things for granted

kamati ya ufundi chini ya kingunge ngombale mwiru.
 
Viongozi wakiafrika waliukubal mfumo wa vyama ving kwa shngo upande sasa Joyce Banda ana haha,tumuombe ayapokee matokeo
 
Mpaka sasa kwa matokeo ya awali anashka nafas yatatu na kawa ilivyo kawaida kaanza kuvitma vyombo vya dora kuwasalimia washndan Wake
 
maskini mama - mikashfa ya ndege na mingine hiyo. angekuja Tz apate mbinu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom