Rais Jonh Pombe Magufuli kweli kidume, mtu amekwishaliwa kichwa!.

DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
757
842
Hakika nimeanza kumwelewa Mh Rais, unajua mwanzoni nilikuwa na wasiwasi nae nahasa kwenye maamzi yake na anakotupeleka kama Taifa.

Nimekuwa nikimfuatilia sana, ila imenichukua muda kumwelewa ila sasa nimeanza kumwelewa anachotaka kulifanyia Taifa letu!.

Juzi juzi tukiwa kwenye hafla moja alifanya maamuzi ambayo sikutegemea kwa kijana yule, ijapokuwa kijana yule ni kijana pendwa wa msiri na mtu wake wa karibu ila katika kulinda maslahi ya umma amefanya maamzi magumu!.

Pamoja na rafiki yake kumsihi amuache kijana yule katika nafasi ile na kituo kile lakini Mh amesisitiza kuwa amekwishafanya maamzi hayo kwa maslihi ya umma!.

Ngoja tuvute subira kidogo itajulikana muda si mrefu ni nani amekumbana na maamzi magumu bila kuangaliwa usoni, na hapo ndipo ndelemo na vifijo vitakapo sikika bila kutarajiwa vimetokea wapi, maana kijana yule hajui kuwa amezungukwa na watu wasio mpenda kutokana na utendaji wake wenye uonevu, majivuno, unanyasaji, matumizi mabaya madaraka, n.k!.

Jamani Mh Rais hataki mzaha akisema amesema hatanii, na anamanisha kweli kweli nahasa kwenye issue za maslihi ya umma!.
 
Dei drim
 
Ungeandika kama TETESI basi tujue moja...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom