TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Bollen Ngetti na Mtumwa wako Malisa GJ, unatakiwa kujua RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ni MSIKIVU NA MWENYE KUPENDA USHAURI lakini sio kama huu unaoutoa wewe kwa lengo la kutimiza matakwa ya Mabwana wakubwa wako MALIBERALI tangu enzi za mwalimu.
Unatakiwa kujua CHANZO cha BIASHARA haramu zote duniani ni kuenea kwa ULIBERALI, yaani kuhamasisha ubinafsi baina ya watu na kuondoa umoja, kuupote za utu na kuongeza utumwa mambo leo dhidi ya mtu na Mtu.
Maliberali ndio wafanyaji wakubwa wa biashara haramu, Rushwa kubwa hasa zinazohusisha Ukwepaji wa KODI katika maeneo mbalimbali ya biashara. Liberali hana adui wa kudumu au rafiki wa kudumu, isipokuwa ana Maslahi ya kudumu. Ndio maana LOWASA na MBOWE wameshibana kwa kuwa wana maslahi mapana zaidi ya chadema.
Kwa kuwa wana nguvu ya fedha na mtandao wao kuwa mkubwa duniani wana mbinu nyingi za kujilinda. Katika historia ya Dunia Maliberali wa Dawa za kulevya wapo waliofanikisha kutoroka mpaka magereza makubwa yenye ulinzi mkali Marekani na huko Mexico lakini hii yote ni kuwa wana mtandao mpana wa kulinda maslahi yao. USISHANGAE HII TRICK NDOGO ya kisheria aliyoitumia ili kujificha na mashambulizi ya Vita dhidi ya dawa za kulevya Nchini.
Wapo waliokuwa na vikosi vya kijeshi kama unavyoona IS Leo na wananunua silaha na kuendesha mambo yote kwa uchumi wa Dawa za kulevya duniani. Lakini hapa kwetu hawajafikia hatua hiyo wengi wao wana mashabiki na wafuasi ambao wanawafanya waishi kwa njia moja ama nyingine katika maisha ya kila siku
Nikirudi katika hoja yako kwamba kuna fedheha yoyote kwa MH. MBOWE kukimbilia mahakamani na mahakama kutoa zuio ni utaratibu wa kisheria ambao unaheshimika na kila Mtu.
Na kwamba Mh. Makonda,Kamanda Siro na Wambura kwamba wamekimbia lahasha hawajakimbia na kiutaratibu unapofungua kesi kuhusu MAMLAKA YA MTUMISHI WA UMMA KWA nafasi kama MKUU wa Mkoa basi mwenye wajibu wa kushitakiwa ni mwanasheria Mkuu wa serikali. Yeye atawajibika kusimama katika kesi hiyo kwa mujibu wa sheria na kwamba Mbowe hakuwa na haki ya kumshitaki Makonda kama Makonda mahakama Kuu kwani kisheria atakuwa yuko nje ya box. Hii angeweza kufanya kwa kutaka kumshtitaki Makonda Binafsi kama zilivyo kesi nyingine binafsi angetakiwa kuanzia mahakama za Mwanzo na si Mahakama Kuu.
Kuhusu taarifa uliyonayo nataka nikuambie kitu kimoja NCHI hii usiposoma habari za mitandaoni basi utakuwa nyuma ya habari na kama ukisoma na kuzisikiliza basi utakuwa umepotoshwa. ( Aliyepata habari kapotoshwa na asiyepata hajahabarika). Taarifa sahihi ni kwamba hakuna vita yoyote kati ya mihimili 3 ya serikali na kwamba Muhimili mmoja umepanga kumkomoa mwingine au kumrekebisha taarifa hizo umepotoshwa na chanzo chako. Mahakama itaendelea kusimamia sheria na kutoa haki, na Bunge hivyo hivyo kuisimamia serikali na Serikali itatimiza wajibu wake wa kuwaletea maendeleo wananchi wake.
Pia umejinadi kuwa unampenda Rais hii sio kweli na kwamba wewe unajaribu kujivika kilemba cha ukoka na unafiki ni hila ya moyo wa Mtu mwenye kuongea asichomaanisha na andiko lako lina kila ishara ya hila hivyo sitakosea KUKUITA MNAFIKI WA MANENO YAKO MWENYEWE.
Rais anaipenda nchi na kwa VIASHIRIA vyote watanzania wameona jinsi RAIS alivyokuwa mkali kwa wakwepaji kodi wa biashara kama Mbowe na Hotel yake pamoja na wengine waliopitisha Makontena Bandarini bila kulipia. Waliotumia Ofisi zao kwa maslahi ya matumbo yao na familia zao na sasa amejikita kutokomeza Dawa za kulevya vita ambayo imeshaanza kuacha alama kubwa katika jamii
Hivyo nina Mshauri Bollen Ngetti pamoja na Mtumwa wake Malisa GJ kuwa ni busara sana kupima Uzalendo wa viongozi wao na kuwauliza kwa nini wanastahili na huku jamii inawatuhumu KUHUSIKA na DAWA ZA KULEVYA?.
Majina aliyopewa RC. MAKONDA yametoka kwa watanzania na Mbowe ametajwa na watanzania hasa Wanachadema ajitafakari kama anatosha katika medani za siasa za upinzani.
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
Chikawe Jr.