KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Mh Rais wewe Ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Baada ya hapo wewe ndiye kiongozi wa nchi hii kauli yako ni ya mwisho katika hii nchi.
Nachotaka kuelezea ni kwamba tenda kazi bila kujali huyu ni ccm mwenzangu au ni rafiki yangu usiogope lawama hata atakaye kulaumu ataishia huko mitaani lakini wewe utakuwa tayari umewatumikia umma wawatanzania wananchi waliokuamini na kukupigia kura.
Pia ukumbuke ukiwa raisi hakuna mahli utakutana nao mitaani kama zamani wewe mtu kukuona ni kwa kibali maalumu hivyo ili watu wasitie doa serikali yako bora wewe uwatie madoa wao kwa wananchi,wewe hautakutana nao tena mitaani kilichopo lalanao mbele pili utakapo kabidhiwa kijiti cha chama kama Mwenyekiti jenga chama kwa kufanya uchaguzi na utezi ndani ya chama wale waliopo hamko nao sambamba wenzio wanafikira tofaiti na wewe na zaidi wanaomba isifike siku ukakabidhiwa chama kwani wao waliiibia nchi kwa mgongo wa chama!
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Nibora wananchi wangu wabaki masikini kuliko kuwaruhusu wagenu kuwekeza kwenye madini kuyachimba nakutuachia mahandaki! bora madini yakae kwani hayaozi"Hivyo uwekezaji mwingi ni 10% ya vigogo wa CCM!wakati wananchi wa pale katoro kila siku wanachomewa mitumbwi na nyavu kisa wanaitwa wavuvi haramu!
Mh Rais namalizia kwa kusema Nyosha watu hakuna mahali mtakuna nao na kukupa lawama zao wewe umeishakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kila la heri Rais JPM katika utendaji wako.