Rais John Pombe Magufuli kwa hili Nakupongeza!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kuna vitu hapa naona watu wanaweza kubeza ila si kila kitu cha kubeza!!
Swala machinga ni kubwa na linahitaji ustadi mkubwa kulishughulikia ukilichukulia kama wale ni wazurulaji unakuwa unakosea!

Ukiwafukuza machinga bila kuanda miundo mbinu nikuwarudisha nyuma kimaisha,
Je unajua wale wanaendesha biashara zao kwakuchukua mikopo katika small grants??

Je watairudusha vipi wakati wao hawana tena nyezo? Je unako wapeleka umewaandalia misingi ili mitaji yao iendelee kuboreka?? Naona kuwaswaga machinga niudhalilishaji! Heko Rais Magufuli kwa hatua ulizozichukua. Watakao beza kwa hilo ni sababu zao binafsi,

Pili wachimbaji wadogo wanatakiwa kuandaliwa mazingira na sikuwatimua migodini na kuwambia eti mwekezaji ana miliki eneo wale nao wanachangia pato la taifa pia wanaendeshea maisha yao. Hili tatizo lipo pia GGM ,Tanzanite one mine wachimbaji wadogo wanauwawa sana na wawekezaji bira huruma nikuombe Rais na huko tuma vijana wako shida ipo pia huko.
 
Watu wanamshangaa kutoa hayo maelekezo jana, badala ya ile tarehe 1/12/2016 kabla hapatokea uharibifu wa vitu na watu. Kama kweli ana mahaba na hao machinga angezuia mapema mbona kasubiri hadi wamepoteza mali zao na hata serikali imetumia gharama kuwatoa?!
 
Kuna vitu hapa naona watu wanaweza kubeza ila si kila kitu cha kubeza!!
Swala machinga ni kubwa na linahitaji ustadi mkubwa kulishughulikia ukilichukulia kama wale ni wazurulaji unakuwa unakosea!
Ukiwafukuza machinga bila kuanda miundo mbinu nikuwarudisha nyuma kimaisha,
Je unajua wale wanaendesha biashara zao kwakuchukua mikopo katika small grants??
Je watairudusha vipi wakati wao hawana tena nyezo?
Je unako wapeleka umewaandalia misingi ili mitaji yao iendelee kuboreka??
Naona kuwaswaga machinga niudhalilishaji!
Heko Rais Magufuli kwa hatua ulizozichukua.
Watakao beza kwa hilo ni sababu zao binafsi,
Pili wachimbaji wadogo wanatakiwa kuandaliwa mazingira na sikuwatimua migodini na kuwambia eti mwekezaji ana miliki eneo wale nao wanachangia pato la taifa pia wanaendeshea maisha yao. Hili tatizo lipo pia GGM ,Tanzanite one mine wachimbaji wadogo wanauwawa sana na wawekezaji bira huruma nikuombe Rais na huko tuma vijana wako shida ipo pia huko.
Mimi sijamuunga mkono alivyoongea kuhusu wateule wake.
 
Watu wanamshangaa kutoa hayo maelekezo jana, badala ya ile tarehe 1/12/2016 kabla hapatokea uharibifu wa vitu na watu. Kama kweli ana mahaba na hao machinga angezuia mapema mbona kasubiri hadi wamepoteza mali zao na hata serikali imetumia gharama kuwatoa?!
Mkuu wamkoa anapotoa amri aombi kwa rais hapa kinachooneka Rais kaona kwenye Vyombo vya habari na kumpigia simu Mkuu wa Mkoa lakini hakuwa na majibu ya kumridhisha Rais angelijua tangu mapema angezuia.
 
Magufuri hana majibu ya kuongezeka machinga na kusababisha uchafu na msangamano mijini japo ana majibu ya kupanua barabara kuondoa msongamano wa magari.
 
Mkuu wamkoa anapotoa amri aombi kwa rais hapa kinachooneka Rais kaona kwenye Vyombo vya habari na kumpigia simu Mkuu wa Mkoa lakini hakuwa na majibu ya kumridhisha Rais angelijua tangu mapema angezuia.
mmmmh! mbona lilikuwa kwenye media karibia zote KakaKiiza! halafu sina uhakika lakini nasikia kila siku ni lazima kila RC aongee na Rais kueleza hali ya mkoa wake. Enewei tuyaache kwa kuwa yametokea basi! Tuombee amani nchi yetu
 
Back
Top Bottom