[h=3][/h]Rais wa Tanzania Dk.John Pombe Maguli amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa wagonjwa.
Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya Agha Khan kumjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Bi Hellen Kijo Bi.Simba anayepatiwa matibabu na vipimo katika hospitali hiyo baada ya jana kupata ajali katika makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam