Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,057
- 18,406
Huyu akiteuliwa nitaandamana hata nyuma ya keyboard.Moja ya bashite
Huyu akiteuliwa nitaandamana hata nyuma ya keyboard.Moja ya bashite
Upendo kwa yule jamaa umeanza liniJana alisema kwamba eti JPM ni mtu mwenye huruma na upendo, ona sasa alivyopindua meza 🤣🤣
Mkristu Tena wa ukerewe mwanzaHuyu naona kama ni muislamu. Ataongeza idadi ya waislamu kufikia wa4
Anzeni kula kitimoto mtasikilizwa fasta tu.Nimefahamu.Ilikuwa ni kujipa moyo tu.Kwani inajulikana maoni ya waislamu inachukua muda mrefu kusikilizwa tofauti na mapadri.
Yeye mwenyewe magufuli ndio anaongoza kwa kuvunja viapo wanavyojidai kuapa kwa unyenyekevu wakati ni unafki mtupu.Haahaa kutokuweza apa vizuri kumefanya ugali upotee. Ingekuwa hicho kiapo wanakizingatia, tungekuwa mbali Sana.
Batauana kugombea hizo nafasi aiseeZimebaki ajira mbili!?
Si mchezo
Huyo ataanza kuapishwa mbunge hata nje ya bunge,si uliona walivyoapishwa akina Halima kisha atakuja kula kiapo cha RaisiYaani anaapishwa kuwa Naibu Waziri kabla ya kuapa kuwa Mbunge?
Acha lamli chonganishi! Uzuri CCM imekomaa itayapuuza haya. Options ni nyingi sana na wabunge wote siyo lazima wawe mawaziri pamoja na kwamba wana sifa. Inawezekana ameamua atumie uzoefu wake wa Tume ya Madini.Wabunge 300+ hakuna anayefaa kuwa waziri khaaa. CCM ni kikundi kisichoaminika mpaka na mwenyekiti wao.
Profesa mwenyewe kumbe bado kijana....atadumu hapo na kulisaidia taifa kwenye upande wa madini,Cv yake inajitosheleza
Prof Shukrani E. Manya
Executive Secretary
Prof. Shukrani Elisha Manya is the Executive Secretary of the Mining Commission, the post he has held since June, 01, 2018. He oversees the day to day activities of the Mining Comission and regulating the Mining Sector in Tanzania. Before this appointment he served as the Commissioner for Minerals in the Ministry of Minerals, the post he held for six months.
Prof. Shukrani E. Manya is a Professor of Geology from the University of Dar es Salaam where he served for 17 years consecutively as an academician and researcher. Before his appointment as Commissioner for Minerals, Prof. Manya was serving as the Director for Research and Publication of the University of Dar es Salaam (UDSM). During his time at UDSM, he also served as the Head of Department for three years between 2012 and 2015.
Prof. Manya has published widely in the areas of geochemistry of gold-bearing terranes of Tanzania, an author and co-author of the several books including Explanatory Notes for the Minerogenic Map of Tanzania and is an Editor (and sits on editorial boards) of leaned Journals in the world.
He has served on various boards of many institutions including Chairman of the Geological Survey of Tanzania Board, member of the Ministerial Advisory Board of the then Ministry of Energy and Minerals of Tanzania, member of the Board Committee of the Tanzania Petroleum Development Corporation, and Council Member of the Mbeya University of Science and Technology, to name but a few.
Huyu ndie alipangiwa hiyo nafasi.....

Yamejaa mapooza tupuChama cha majambazi pamoja na uwizi wote wa kura na kupata wabunge zaidi ya 300...malaika wao kaona wote takataka kaamua kuteua nje ya bunge lake, ndio nimeamini CCM kumejaa mapopoma n utopolo tu
Sasa kwa nini mnakubali kununulika kirahisi hivyo na ccmNimefahamu.Ilikuwa ni kujipa moyo tu.Kwani inajulikana maoni ya waislamu inachukua muda mrefu kusikilizwa tofauti na mapadri.
Wanaleta Usanii ndani ya Jumba la Sanaa! Wasanii tunashangaa!! Wakipotea kwetu furaha, adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa!Unamaanisha nini?
Sina uhakika kama ni usanii!Wanaleta Usanii ndani ya Jumba la Sanaa! Wasanii tunashangaa!! Wakipotea kwetu furaha,adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa!
Niamini mkuu 100% ni Usanii.Sina uhakika kama ni usanii!
Ni intellijensia, siyo usanii. Anyway kwa laymen kama sisi tunaweza kusema hivyo, lakini kinachoendelea kwenye huo unaouita wewe kuwa ni usanii, manufaa yake huwezi kupima, assuming ungekuwa ni wewe ambaye ungekuwa unahusika katika kukiandaa. Umeisoma ile post ya Saint Ivuga iko page ya pili ya thread hii?Niamini mkuu 100% ni Usanii.