Rais John Magufuli amteua Profesa Shukrani Manya kuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Madini, baada Francis Ndulane kushindwa kuapa

Kuna mafisi wa Lumumba bado wanamwona JPM kama 'kimungu mtu' fulani hivi...
Wacha awanyooshe wamezidi kumsifu na kumuabudu! Magufuli hawapendi kabisa wana CCM, na hampendi mtu yeyote yule, ni vile tu watu wanajipendekeza kwake... hawapendi, hawathamini wala hawaheshimu. Ndio hivyo hawana meno, hawana chakumfanya, walidhani ni wapinzani tu wataisoma namba kumbe na wao 😂
 
Ni intellijensia, siyo usanii. Anyway kwa laymen kama sisi tunaweza kusema hivyo, lakini kinachoendelea kwenye huo unaouita wewe kuwa ni usanii, manufaa yake huwezi kupima, assuming ungekuwa ni wewe ambaye ungekuwa unahusika katika kukiandaa. Umeisoma ile post ya Saint Ivuga iko page ya pili ya thread hii?
Him being afisa kipenyo au kipeuo cha pili has nothing to do with what happened the other day, mnajaribu tu kutengeneza stori ambayo haina mantiki. Kwa mujibu wa watu waliokuwepo sehemu ya kuapishwa wanasema the guy alikuwa haoni maandishi vizuri basi hakuna kingine!
 
Yatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo!

Kwa wanaume zimebaki nafasi mbili za ubunge wa kuteuliwa na Rais!
Sasa nawaza hawa wanaume wote hawa hapa chini bado wanasubiria hizo nafasi 2 tu.
  • Pasco Mayala.
  • Paul Makonda.
  • Le mutuz.
  • Bashiru Ally
  • Konde boy.
  • Mahera.
  • Buruani Muhuza.
  • Musiba
  • Zitto Kabwe.
  • Habibu Mchange.
  • James Mbatia.
  • Augustino Lyatonga Mrema.
  • Ayubu Ryoba.
  • Masanja Mkandamizaji.
  • Steve Nyerere.
 
Unaeweza kufanya kazi masaa 24/7 lakini bado ukaishia na zero output.
Mfano halisi ni vetting Ndiyo Ukweli Wenyewe ya Mawaziri na Manaibu iliyochukua miezi 2 halafu unatoka na Watu waso jua kusoma, kuandika na kula viapo....!!!
Ni aibu sana kwa utawala huu.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu

TMA Washushe Mishahara Yao
 
Back
Top Bottom