Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Mzee anasahau Corona kidogo anakula bata chamwino
FB_IMG_1584981198911.jpeg
FB_IMG_1584981209106.jpeg
FB_IMG_1584981206478.jpeg
FB_IMG_1584981201083.jpeg
 
Waziri mkuu wa Australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda yakupasa kukaa kimya na kusoma watu walichoandika

Hivi wewe una uchungu na mtu mwingine kuliko wazazi wako

Rais ni taasisi sio mtu, Akiwa Dodoma sema taasisi ipo Dodoma,

Hata mawasiliano ya taasisi yanasema kurugenzi ya Ikulu

Mkuu wapi uliona barua zinaandikwa "Rais Magufuli" zinaandikwa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kama taasisi

Mtakuja kufa kwa kujaza chuki vifuani, Wewe ni moja ya watu mnaoitafuta presha kwa kujaa chuki
mzee shkamoo, naona umetukimbia dar baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri mkuu wa australia almanusura wananchi wamtumbue kisa picha yake ya vacation wakati nchi inahangaika na janga la moto mwezi december mwaka jana, sasa leo hii kuna janga la kidunia mtu anapost picha akiwa amelala kwenye mawe akipunga upepo hii haileti picha nzuri, kuna muda napata feeling huenda kuna watu wanafanya sabotage bila mzee baba kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio uwezo wako wakufikiri ulipoishia,hapo umeona anakula bata hapo?
 
Back
Top Bottom