Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Hayati Magufuli akiwa katika matembezi ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma - mwaka 2020.

Japo kuna watu hawa kumtaja hii leo kwa maslahi binafsi kwa kujizima data kwenye moja na mbili.

Lakini hii ndio maana halisi ya kazi Iendelee..đź‘Ź
Hongera Sana Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassanđź‘Ź

Mwamba uyo hapooo akibarizi na kudadasi ndani ya Ikulu Chamwino.

Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO.

Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la UJENZI ameweka Magufuli, kwanini asitajwe?
UNA MATATIZO YA AKILI???
 
Kapime, hauko sawa kichwani, Nchi hii Barabara mbovu, pesa zinajengwa DAR, DOM na kanda ya Ziwa tu.

Hii nchi ni kubwa Magufuli alipaswa kujenga nchi kwa usawa.

Mungu ni fundi.
Nani aliyeijenga hii Nchi kwa usawa.
Kama una cha kuongea ni bora ukafunga hilo domo lako. Sio unaropoka ropoka humu sio jalalani.
 
Hayati Magufuli akiwa katika matembezi ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma - mwaka 2020.

Japo kuna watu hawa kumtaja hii leo kwa maslahi binafsi kwa kujizima data kwenye moja na mbili.

Lakini hii ndio maana halisi ya kazi Iendelee..đź‘Ź
Hongera Sana Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassanđź‘Ź

Mwamba uyo hapooo akibarizi na kudadasi ndani ya Ikulu Chamwino.

View attachment 2629282
Nyie nao punguzeni kudeka, Kila kitu lazima atajwe? Kwani kipindi JPM anazindua miradi ya Kikwete mfano Kinyerezi 2, Airport Terminal 3, BRT phase 3 n.k alimtaja JK?

Kipindi kile mliona Raha kejeli kutupwa kwa JK ilihali miradi yake aliizindua JPM ila Leo zamu yenu mnalia Lia.

Poleni sana Sukuma gang ila ndio mjifunze what comes around goes around.
 
Nakumbuka alienda kuzindua daraja la Kigamboni mwezi mmoja Tu baada ya kuapishwa akaliita daraja la Nyerere na Kikwete hakutajwa kabisa zaidi ya kejeli kuwa kuna wazee wanawashwawashwa.....
 
Nyie nao punguzeni kudeka, Kila kitu lazima atajwe? Kwani kipindi JPM anazindua miradi ya Kikwete mfano Kinyerezi 2, Airport Terminal 3, BRT phase 3 n.k alimtaja JK?

Kipindi kile mliona Raha kejeli kutupwa kwa JK ilihali miradi yake aliizindua JPM ila Leo zamu yenu mnalia Lia.

Poleni sana Sukuma gang ila ndio mjifunze what comes around goes around.
Alafu watu wanasahau, Hayati Magufuli alikuwa bingwa wa kupuuza mengine waliyo yafanya watangulizi wake.....hapo sioni ajabu, baada ya Samia watakao fuatia watapuuza aliyo yafanya Samia Vilevile.
 
Huoni ajabu wakati msingi kauweka jiwe.
Acha ushabiki maandazi.
 
Nyie nao punguzeni kudeka, Kila kitu lazima atajwe? Kwani kipindi JPM anazindua miradi ya Kikwete mfano Kinyerezi 2, Airport Terminal 3, BRT phase 3 n.k alimtaja JK?

Kipindi kile mliona Raha kejeli kutupwa kwa JK ilihali miradi yake aliizindua JPM ila Leo zamu yenu mnalia Lia.

Poleni sana Sukuma gang ila ndio mjifunze what comes around goes around.
Umeeleweka Sir'
 
Nani aliyeijenga hii Nchi kwa usawa.
Kama una cha kuongea ni bora ukafunga hilo domo lako. Sio unaropoka ropoka humu sio jalalani.
KIKWETE, ameunganisha hii nchi kwa barabara, wakati ule tulikuwa tunalazimika kupitia KENYA kwenda mikoa ya kanda ya Ziwa.

KIKWETE
MTWARA - SONGEA - NJOMBE - MBEYA - IRINGA - MOROGORO - PWANI - DAR ES SALAAM - LINDI.

MTWARA - LINDI - DAR ES SALAAM - PWANI - TANGA - KILIMANJARO - ARUSHA - MARA - MWANZA.

Kila eneo la nchi hii linafikika.

Magu ameshindwa hata kuwapa Lami wenzetu wa KIGOMA badala yake akajenga uwanja wa ndege kwao.

Magufuli amejenga vitu ambavyo wachache vina manufaa kwao. Alijikita sana DAR, DOM, MWANZA.
 
Back
Top Bottom