Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Kitamaduni kwenye mawe makubwa, miamba misitu minene na miti mikubwa ndio sehemu tulizokuwa tunaenda kufanyia matambiko, makafara na ibada za mizimu.. Hapa ni Kabla hatujaletewa dini za ughaibuni
Kuna baadhi ya makabila mpaka leo hii wanaziheshimu hizi mila za kuwa na miungu yenye nguvu kwenye mawe na majabali makubwa, miti mikubwa misitu minene nknk na hufika huko kupeleka shida zao ama kuomba mambo fulani fulani
Mh rais magufuli akiwa amejipunzisha katika mawe yaliyopo ikulu Dodoma
Wiki iliyopita

Je hizi picha za Magufuli tumejifunza nini sisi Vijana?

Tutiririke mawazo yetuView attachment 1402476View attachment 1402477View attachment 1402478View attachment 1402479

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Kitamaduni kwenye mawe makubwa, miamba misitu minene na miti mikubwa ndio sehemu tulizokuwa tunaenda kufanyia matambiko, makafara na ibada za mizimu.. Hapa ni Kabla hatujaletewa dini za ughaibuni
Kuna baadhi ya makabila mpaka leo hii wanaziheshimu hizi mila za kuwa na miungu yenye nguvu kwenye mawe na majabali makubwa, miti mikubwa misitu minene nknk na hufika huko kupeleka shida zao ama kuomba mambo fulani fulani

Jr
Ndiyo maana unaona corona haisumbui kabisa hapa TZ. Na itapita si muda mrefu!
 
Kitamaduni kwenye mawe makubwa, miamba misitu minene na miti mikubwa ndio sehemu tulizokuwa tunaenda kufanyia matambiko, makafara na ibada za mizimu.. Hapa ni Kabla hatujaletewa dini za ughaibuni
Kuna baadhi ya makabila mpaka leo hii wanaziheshimu hizi mila za kuwa na miungu yenye nguvu kwenye mawe na majabali makubwa, miti mikubwa misitu minene nknk na hufika huko kupeleka shida zao ama kuomba mambo fulani fulani

Jr
Kwa hyo mshana umejifunza nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa wakati ni washida hupaswi kuhudhunika sana maana kila jambo huwa linamwisho.
Kusimama pembeni ukilitazama jiwe = kupatwa au kukabiliwa na shida ambayo Huna uwezo nayo.
Kulala juu ya jiwe =kukubali (kunyoosha mikono) juu ya hiyo shida au huo mitihani.
Kuchungulia pembeni ya jiwe tena ukiwa umeinama =yamaanisha shida au mitihani kutoweka pasipo wewe kuamini kabisa (ni sawa sawa na jambazi likiondoka lazima uchungulie)

Corona (crown) must go.

Hii ya kulala juu ya mawe nimeielewa,hata mm kipindi flan nilikuwa nikikimbilia kwenye mawe na kujigalagaza juu yake.
Hata waswahili utawasikia eti "nipo juu ya mawe"=SINA SWAGA,SINA JIPYA,SINA COMENT,SINA IDEA(haiwezekan uwe upo sawa na utulivu wa akili ukiwa sawa alaf ukimbilie kwenye mawe)
Kamani kujipumzisha utakuwa porin ukiwacheki wanyama,au miti au sehem yenye kuchanganya

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Back
Top Bottom