Rais Joe Biden aidhinisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini Syria

Nilikutwa na mtoto wa kiarabu, nilichezea sana mijeledi. Nilidharauliwa sana ila na mimi nilikuwa nishamtoboa yule demu zaidi ya mara tatu.
Kwanza ulicho kiandika hapa kina akisi jinsi ulivyo na akili ndogo na ulivyo mpumbavu.

Pili ujajibu swari langu maana nimekuuliza ulisha wahi kwenda nchi yeyote ya kiarabu uka baguliwa lakini ujajibu zaidi za kiandika upuuzi.

Tatu ukitaka kujitambua jinsi ulivyo mpumbavu ,ww umesema waarabu wana roho mbaya na wanawaona watu weusi kama mbwa, alafu wakati huohuo unasema ulikuwa na uhusiano na mtoto wa kiarabu sasa mtu unaye kuona kama mbwa anaweza kukubali kuwa na mahusiano na ww?
 
Mpumbavu ni mama yako na baba yako....
Haaaa usipaniki mkuu .
Upumbavu wa mtu uonekana kutokana kitokacho mdomoni mwake.
Kuwaita wazazi wangu wapumbavu hakuniumizi kwa sababu hauna ushahidi wa kuonesha upumbavu wao.
Mm nimekuita mpumbavu kwa sababu umejitambilisha ww mwenyewe kutokana na ulicho kiandika.
Siku nyingine ukitaka kiandika jambo lolote fikiria marambili.
 
Haaaa usipaniki mkuu .
Upumbavu wa mtu uonekana kutokana kitokacho mdomoni mwake.
Kuwaita wazazi wangu wapumbavu hakuniumizi kwa sababu hauna ushahidi wa kuonesha upumbavu wao.
Mm nimekuita mpumbavu kwa sababu umejitambilisha ww mwenyewe kutokana na ulicho kiandika.
Siku nyingine ukitaka kiandika jambo lolote fikiria marambili.
Sawa mkuu. Ila umeongea kapoint flan hivi kameniingia kisawa sawa.
 
Iran sio muarabu,ni muajemi.Hawahusiani na waarabu kabisa.Na vile vile,fahamu na uelewe muarabu sio mtu mweupe,hao unaowaona na kuita waarabu,walio weupe ni mchanganyiko wa waarabu wa asili(weusi) na watumwa wazungu wa mashariki,walipooana,ndio wakapatikana machotara weupe.Waarabu wasili(weusi),wapo wamebakia,baadhi ya sehemu.
Kwani muajemi ana nini cha ajabu
 
Trump alikuwa hataki hasara ,yeye alikuwa ana deal na single person(master mind),kitu kilichofanya makampuni kutengeneza vifaa vya kivita,yampe mgongo.kwa biden naona jamaa watapiga hela ya maana.
 
Sababu ya Trump kuondolewa ni makampuni ya vifaa vita kutopata tenda za maana.
una akili sana, ukiwachanganya hao pamoja na Tech giants Facebook, Twitter, Amazon na Alphabet (google) ambao Trump alianzisha nao vita ndio ikawa kwaheri.
 
Trump ndiye raisi pekee ambaye hakuanzisha vita mpya plus alisaini mikataba ya amani ya kihistoria middle east and North Korea


Soleyman wa iran walimfanya nini!!!

Kupeleka majeshi yake syria kuwasaidia waasi, na kuuwa hiyo sio vita!!!! Japo sio sana kama warivyokua obama na George Bush
 
Back
Top Bottom