Rais JK, tupe mchanganuo huu, uiokoe CCM

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ikiwa rais Obama alikaa madarakani kwa miaka 4 na kufanya jumla ya safari 32 na kutakiwa kutaja faida za kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena.

Mwl. Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya safari 65 tu. J.K Kikwete amekaa madarakani kwa muda wa miaka 6 na jumla ya safari 322. Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa safari kwa rais wetu? Je ni lini atatolea maelezo faida za safari hizo? Ewe Mtanzania amka uone hasara za kugharamia safari hizi.
 
Wewe ni Mgeni Tanzania.Ndiye VASCO da-GAMA wao. Watanzania (Mimi simo) ndo wanamtuma akatembee huko majuu na kuwaletea story pamoja na picha mbalimbali za huko.
Kama watanzania wasingekuwa wanamtuma, wangehoji!!!!!!!
Wacha atembee-nchi italiwaje pasipo kuwepo akina Vasco da-Gamaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom