Rais JK NA WATANZANIA AUSTRALIA PICHA ZA KUPENDEZA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais JK NA WATANZANIA AUSTRALIA PICHA ZA KUPENDEZA

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 29, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  Taswira Mbalimbali Za Mkutano W a Watanzania Waishio Nchini Australia na Rais Jakaya Kikwete

  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa watanzania waishio Australia Asimwe Kabunga katika mkutano unaowajumuisha watanzania waishio Australia okt,26-2011. Rais Jakaya Kikwete pamoja wanajumuia ya watanzania wanaoishi Australia wamezungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo,


  [​IMG]

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete(kulia) akipokea maua kutoka kwa mweka Hazina wa Jumuia ya Watanzania waishio Australia Maryam Powell (oktober 26,2011) walipokutana na wanajumia mjini Perth Australia .Rais Jakaya Kikwete alikutana na wanajumuia kuzungumza mambo mbalimbali ya maendeleo na kijamii, Rais yupo nchini Perth Australia kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola( commonwealth Heads of Government meeting- CHOGM 2011,utakaanza Oktober 28-30,2011, -

  [​IMG]

  Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanajumuia.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akibadilisha mawazo na mwanajumuia wa Australia Dr.Joseph Masika wakati Rais Jakaya Kikwete alipokutana na wanajumuia wanaoishi Australia 0ktoba 26,2011 . na kuzungumza nao mambo mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu

  [​IMG]
  Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011.

  [​IMG]
  Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011. nchini Perth

  [​IMG]
  Picha ya pamoja ya wanajumuia wa kike wanaoishi Australia pamoja na Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete baada ya kuamlizika mkutano wa Rais Kikwete na Watanzania wanaoishi Australia,(okt,26,2011).Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Vasco Da Gama bana... he is completely a brain dead idiot.
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  aisee huko nje kuna wabongo wengi, wamejaa ukumbi aisee....rudini home jamani tupige m4c
   
 5. m

  makeda JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mh!home ipi unayoongelea mkulu?hii hii ya mabwepande?ilojaa mauzauza au?mpaka leo hata maji tu tabu,arooo usiwachuuze bhana.


   
Loading...