Rais JK kuhudhuria mkutano wa G8 siku ya Jumapili

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,816
678
Rais JK amealikwa kwenye mkutano wa G-8 utakaofanyika Nothern Ireland, UK siku ya tarehe 16 na 17 June.

Anategemewa kuingia UK hapo kesho.
 
Congratulation our beloved flying President. I am looking forward to know the college he attended when studying Diplomacy. Safe trip. We are now familiar with auto-sytem of running the Tanzania government. Congratulations!

What are main agenda for the meeting?
any evaluation from the former meeting in DAVOS. Kwa hero MKULU WA KAYA
 
Ni lazima ahudhurie yeye? Si lazima tuunde mamlaka ya safari za Rais yaani Presidential Trips Authority (PTA).Common sense tu.Sera yetu ya mambo ya nje haihitaji kipaji cha uzururaji wa Rais ili kufanikiwa katika utekelezaji wake.No, this is not necessary at all.What a disgrace...!
 
Ben, huyu jamaa anakera sana. Kipindi cha Mkapa alikuwa anatumwa sanana Mkapa. Watu wangejua gharama halisi ya safari za raisi wangeandamana na kuchinja nguruwe kama walivyofanya Kenya.
 
Ni lazima ahudhurie yeye? Si lazima tuunde mamlaka ya safari za Rais yaani Presidential Trips Authority (PTA).Common sense tu.Sera yetu ya mambo ya nje haihitaji kipaji cha uzururaji wa Rais ili kufanikiwa katika utekelezaji wake.No, this is not necessary at all.What a disgrace...!

Kuna midude ipo UK wiki mbili sasa, inakula perdiem na kutumbua maisha kwa safari hiyo
 
Safari za Rais Kikwete siku hizi zinaniacha na maswali mengi hasa baada ya kugundulika kama kuna watu wanatengeneza pesa katika safari zake ambapo wakikosa safari za kweli wanatengeneza safari hewa.

Kadri siku zinavyokwenda, G8 is becoming irrelevant.

Siwapendi sana hawa mabeberu wa nchi hizi za "viwanda" kwa sababu hawako katika kuangalia maslahi ya masikini bali maslahi ya wao. Hakuna nchi iliyoweza kupiga hatua kwa kuwategemea hawa wanyonyaji wasio na huruma hapa kwa masikini. Wanakupa kidogo kwa mkono wa kulia na wanachukua kingi kwa mkono wa kushoto.

Kama Taifa, nafikiri kwa sasa tuanze kuelekeza nguvu zetu katika mashirikiano na kikundi cha nchi za BRICS (Brazil, Russia, India, China and South Africa) ambacho kwa sasa kinatoa ushindani mkubwa na kuziwezesha nchi kama Tanzania kwa sasa kuwa na bargaining power na uchaguzi katika meza ya maongezi na hasa katika nyanja ya kiuchumi.

Waziri Mkuu Tony Blair wakati akiwa mwenyekiti wa G8, alimkaribisha sana Rais Mkapa kwenye meza za Mazungumzo wakati nchi inahangaika na hii kitu inayoitwa The Structural Adjustment Programs (SAPs) lakini cha kushangaza huyo huyo Tony Blair akawa ni mtu wa kupigia chapuo ili Tanzania inunue Radar ili kutengeneza ajira kwa kampuni ya nchi yake ambayo ni BAE systems na pesa za mkopo zitoke Barclays ambayo pia niya Waingereza huku akijua fika kama Tanzania ina matatizo na ulipaji wa mikopo.

Hawa ndiyo mabeberu wa nchi za Magharibi ambao hawana hata aibu kuua ili wapate malighafi.
 
RAIS KIKWETE AONGELEA ZIARA YAKE YA JAPAN NA SINGAPORE na KUONGELEA KWA NINI Mh. J.K anatembea sana nje ya nchi (source mdauwalibeneke (michuzi) wa youtube. Kuhusu ziara hii inayokuja labda akirejea toka mkutano wa G8 ataongelea safari yake ya mkutano wa G8 Published on 13 Jun 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania aongelea safari zake za kikazi nchini Japan na Singapore wakati wa mahojiano maalumu katika Ikulu ndogo ya Dodoma Juni 12, 2013.
 
Last edited by a moderator:
Cameron, like Tony Blair, has thrown the NGOs a bone: he will fight for an international mechanism to monitor where multinationals make their money, and where they pay their taxes. The NGOs are duly impressed, and cheer Cameron on. It should go without saying that they will be presented with some sort of "breakthrough achievement" to celebrate, and declare their efforts a success. Meanwhile the major dynamic forces of poverty and inequality will remain untouched until the G8 visits again.
The spectacles surrounding this year's G8, attempting to emulate the routines of the boom years, are symptoms of a profound economic, political and cultural stagnation. Much has changed, and yet so much remains exactly the same.
 
Hapa nimenukuu gazeti la guardian. Pia refer gazeti hilo tar.11/june 2013. there is a critical analysis of the g8 meeting whereby the big 8 pretend to help africa on conditions that their MNCs be allowed to invest in agriculture so solve the food problem. Actually they are looking for markets for their MNCs, want to get access to land as they have already done in Ethiopia and other african countries as well as introduce their seeds and thus do away with our natural seeds. Ghana and Tanzania are the next target to be included in this plan and hope our president will sign that agreement in exchange of some few pounds. Africa wake up! we have people, we have land, we can produce ourselves and feed ourselves.
 
Please Mr President stop travelling as if you hated your Motherland! You are the only President heading the biggest Cabinet since Independence. Can't your Ministers represent you?
Hata kama hupendi kukaa ofisini safari hizi ungezifanyia humu Nchini kwa kwenda Mikoani kuhimiza maendeleo Wallahi Nchi hii ingekuwa mbele zaidi ya hapa tulipo.
Tuna kipi ambacho tutajivuna nacho kuwa hiki bila safari za Rais wetu tusingekipata? Au hiki kama Rais wetu angewakilishwa na mtu mwingine kisingepatikana?
Mh Rais tumia miaka hii miwili iliyobaki kuizungukia Nchi ukihimiza maendeleo. Naamini hatua itapigwa. Kuna Watanzania wengi tu hawajakuona uso kwa uso. Wanakufahamu kupitia picha tu!
 
Naona huo mualiko ulivyokuja lazima kuna wasaidizi wake walicheka maana walijua kabisa tayari litakuwa gumzo,dizaini ile kauli kuwa raia anaangushwa na watendaji wake ndio ameanza kuifanyia kazi so hataki kumtuma mtu asije akaangushwa.......go go go mh Rais,miaka miwili ya mwanzo ulikuwa unajitambulisha naamini sasa unawaaga.
 
Ni lazima ahudhurie yeye? Si lazima tuunde mamlaka ya safari za Rais yaani Presidential Trips Authority (PTA).Common sense tu.Sera yetu ya mambo ya nje haihitaji kipaji cha uzururaji wa Rais ili kufanikiwa katika utekelezaji wake.No, this is not necessary at all.What a disgrace...!

Mkutano wa G8 unataka aende nani Diwani?

Subiri zamu yenu ifike mumpeleke Sugu akawakilishe G8.
 
Rais JK amealikwa kwenye mkutano wa G-8 utakaofanyika Nothern Ireland, UK siku ya tarehe 16 na 17 June.

Anategemewa kuingia UK hapo kesho.

Amealikwa ama anazamia. Kuna nini atakachojadili na hao viongozi wa G-8 ilhal yeye mwenyewe hajui chanzo na sababu za matatizo na umaskini wa Watanzania.
 
JKjuu.jpg

mi hii picha tu ndo huwa inaniacha hoi hahahahahaha rais wetu akiwa kazini daaaah...........huyu jamaa anadhani sijui bado ni foreign minister
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom