Rais JK alitumia kitabu gani wakati wa kuapishwa kuwa Rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais JK alitumia kitabu gani wakati wa kuapishwa kuwa Rais?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Black Jesus, Apr 13, 2009.

 1. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inaaminika kwa waumini wa Dini ya Kislam unapokula kiapo huku ukiwa umeshikilia kitabu kitukufu cha quran ni lazima uweke ahadi hizo la sihivyo yanakuta mengineyo .
   
  Last edited: Apr 13, 2009
 2. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwani kwa dini nyengine ni tofauti?
   
 3. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [COLOR="Blu[/COLOR][quote="Ngekewa, post: 421267"]Kwani kwa dini nyengine ni tofauti?[/quote]

  well kuna baadhi ya dini wakuu wake wamekuwa wakifanya [adjustment [kulingana na hali ya maisha ya kileo, lakini inapofika qurani hilo halikubaliki
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Inaaminika kwa waumini wa Dini ya kislam unapokula kiapo huku ukiwa umeshikilia kitabu kitukufu cha quran ni lazima uweke ahadi hizo la sihivyo yanakuta mengineyo .

  ********************

  Black Jesus:

  1. Angalau basi fanya hata ile courtesy kwa dini nyingine kwa kuyaanzisha maneno "kislamu" na "quran" kwa herufi kubwa.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Apr 13, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo yasipomkuta mengineyo dini hii inakuwa ya uongo? hivi Mungu ameshaanzisha hukumu ya papo kwa papo? au kula kiapo ni kuwa rais tu?
   
 6. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  zipi hizo
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Bush alipoingia White House aliapa kwa kitabu kitakatifu lakini alipeleka majeshi nchi za nje na kusababisha vifo vya malaki ya watu. Nashangaa kwa nini moderator hajaifuta thread hii -- haina kichwa wala miguu!
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hii thread ina umuhimu wa pekee kabisa, kinyume na baadhi ya memba wanavyofikiria.

  Suala la mtu kuapa kwa jina la Mungu ya kuwa atafanya a,b,c, .. halafu hatekelezi sio suala la kufumbiwa macho.

  Laana inayokuja baada ya mtu kuvunja viapo ndio hii tuivunayo sasa.
   
 9. G

  Gozigumu JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Adjustments hizo zinafanywa ili usikiamini unachokilia kiapo?
   
 10. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  inawezekana hufanywa hivyo kupunguza makali ya athari zake, si kama unavyo ona kuna sehemu same sex zinabarikiwa kuowana ndani ya majumba yanayoitwa majumba ya ibada
   
 11. G

  Gozigumu JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiri Thread hii si ya kidini bali ni ya siasa na tunachojadili ni kula KIAPO na Utekelezaji wa Kiapo hicho.
  Nafikiri kiapo ni kiapo na kuamini dini ni vitu viwili tofauti. Kama kuna dini inayoruhusu mtu asitekeleze ahadi basi kuna tofauti hapo.
   
Loading...