Rais JK aendelea kuizunguka dunia;aenda Belgium na Misri!

Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,813
11,123
PRESIDENT Jakaya Kikwete left Dar es Salaam on Sunday for Brussels, Belgium to attend the 5th edition of the European Development Days (EDD) opening on Monday at the Square Meeting Centre.

He is joining current and former Heads of State and Government from Europe, Africa and rest of the world; high-level representatives of governments, international organisations
as well as development practitioners, Non Governmental Organisations, media and
civil society at the two-day event which ends on Tuesday.

On his way to Brussels, President Kikwete had a stop over in Cairo, Egypt where he held
talks with his host President Hosni Mubarak which centred on the two countries mutual
relations as well as on international affairs.

Source:Daily News;Dec 5, 2010
 
He has Cash...keshauza Chuma what next......Ananikumbusha movie ya jackie Chan iitwayo Around the world in 80 Days....Mwache ale bata.......Dogo kesha acha chuo, Serikali haiwezi mkopesha. Mie bado natumia 3 hrs from home to office.......
 
mwacheni mwenzenu alilia sana nafasi hiyo ili aipate na alitumia kila gharama ikiwemo fedha za epa kuingia ikulu na tazama sasa umekuwa mradi wa familia yake.............mwacheni jamani acheni akauze sura acheni wivu
 
I predicted this and he will never delegate to his juniors until 2015 to attend any international gathering!!!
 
Kwenye mikutano kama hii ni vyema tukawakilishwa na Mabalozi wetu waliopo kwenye nchi hizo

Kweli mkutano huu una tija kwa watz?Kwa nini Rais wetu kila siku anakwenda kwenye vimikutano ambavyo Balozi wetu angetosha kutuwakilisha na kutupunguzia gharama?
 
Jk aliingia madarakani kwa njia ambayo haikuwapendeza wengi. Umeme umekuwa ni kero na amekwenda nje kupumzika kuepuka kero za mgao wa umeme. Hataiongoza Tanzania kwa mafanikio mpaka anaondoka
 
Wakuu kuweni na huruma na mtoto wa mwenzenu, huyu hajaenda kuchakachua damu siku nyungi sasa mnataka mieleka iendelee kama wakati wa kampeni? Nenda mkwere nenda damu imechafuka sana usiwasikilize wazushi hao.
 
Angeshauliwa safari zingine za kikazi nje ya nchi awe anatuma wawakilishi.
 
Kweli jamani jamaa hajasafiri siku nyingi sana si mmeona hadi amekonda kiasi flani kwa sasa! mwache akabadili hali ya hewa na kushangaa magorofa kidogo k k k
 
Ni wakati wake wa kupumzika mwacheni mtani wangu akatutafutie mikate. Mwenzenu amemaliza miezi kadhaa bila kusafiri mnataka afie magogoni?
 
Kwenye mikutano kama hii ni vyema tukawakilishwa na Mabalozi wetu waliopo kwenye nchi hizo

Kweli mkutano huu una tija kwa watz?Kwa nini Rais wetu kila siku anakwenda kwenye vimikutano ambavyo Balozi wetu angetosha kutuwakilisha na kutupunguzia gharama?
aweze kujitambulisha kwa wenzake baada ya kuchaguliwa
 
Back
Top Bottom