Kweli msemo unaosema Siku zikikaribia za nyani kufa kila mti HUTELEZA. Inasemekana kuwa rais Jammeh wa Gambia amewafukuza kazi mabalozi wake 12 waliokuwa wakiwakilisha nchi za nje.
Inasemekana walimwandikia barua ya kumwambia AMWACHIE madaraka MPINZANI wake Adama Barrow aliyemshinda katika uchaguzi ulifanyika hivi karibuni.
Pia inasemekana walimpongeza mpinzani wake jambo ambalo lilimkasirisha rais Jammeh.
Pamoja na pigo jingine, kesi aliyokuwa amepeleka mahakamani kupinga uchaguzi majaji wawili kutoka Nigeria na Siera Leoni HAWAKUHUDHURIA.
Na tayari Mkuu wa sheria Emmanuel F. ameiahirisha kesi hii mpaka kati ya Mwezi wa 5 na wa11 mwaka huu. Na hivyo kumpa rais Jammeh PIGO KUBWA kisiasa!
Sijui Jammeh atang'ang'ania madaraka ama majes
hi ya jumuia ya ECOWAS watamtoa kwa nguvu ama ATAACHIA kwa HIARI?
Chanzo: Gambia Daily Mail