Rais Jakaya Kikwete njiani kuelekea Kenya kwenye mahadhimisho ya miaka 50 ya Nchi hiyo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kwa mara nyingine tena Rais Jakaya Kikwete amepiga safari ya juu kwa juu toka South Afrika to Kenya kwenye mahadhimisho ya Miaka 50 ya nchi hiyo iliyopata uhuru mwaka 1963.

Hii safari yake nje ya nchi inamfanya rais wetu kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka 3 toka aingie madarakni na miezi kadhaa.
 
Anaenda Kenya tena? Jamani Ghalib Bilal yupo likizo?
 
jk ni kama kunguru, awezi kukaa kwake hata dk moja, baada ya kenya atapita tz kuwasanifu alafu utackia yupo falme za kiarabu........ Ki fastjet kinatisha
 
Wakenya na wana EAC wengine wakiwa wanatudharau waTZ tusichukie coz hizi ndio sababu zenyewe,tulipokuwa tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wetu ni Rais gani wa EAC alikuja?,na juzi ni nani alikuja?,kwa nini hatuna priorities Nchi hii?,sasa Urais wa Tz unadhalilishwa sana na huyu Mh.,eeeh mwenyezi Mungu kwa nini umetunyima akili waTZ za kujenga Nchi yetu na kutupa ujinga wa kujijengea heshima nje ya Nchi wakati Nchi yetu masikini,wajinga na mafisadi ya kupindukia?,iko wapi akili uliyowapa wengine ukatunyima sisi?inauma kwa kweli.
 
Kwa mara nyingine tena Rais Jakaya Kikwete amepiga safari ya juu kwa juu toka South Afrika to Kenya kwenye mahadhimisho ya Miaka 50 ya nchi hiyo iliyopata uhuru mwaka 1963.

Hii safari yake nje ya nchi inamfanya rais wetu kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka 3 toka aingie madarakni na miezi kadhaa.
Umewasilisha mada kinafki, kihuni na kizushi mno. Unaposema kwa mara nyingine tena, ni lini tena aliunganisha safari yake? Pili huu ni kwaka wa tatu rais akiwa madarakani, inaingiaje akilini kudai eti huu ni mwaka wa tatu rais kuwa nje ya nchi? Acheni ujinga kwenye mambo ya msingi, gawaneni ruzuku kwanza.
 
Wakenya na wana EAC wengine wakiwa wanatudharau waTZ tusichukie coz hizi ndio sababu zenyewe,tulipokuwa tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wetu ni Rais gani wa EAC alikuja?,na juzi ni nani alikuja?,kwa nini hatuna priorities Nchi hii?,sasa Urais wa Tz unadhalilishwa sana na huyu Mh.,eeeh mwenyezi Mungu kwa nini umetunyima akili waTZ za kujenga Nchi yetu na kutupa ujinga wa kujijengea heshima nje ya Nchi wakati Nchi yetu masikini,wajinga na mafisadi ya kupindukia?,iko wapi akili uliyowapa wengine ukatunyima sisi?inauma kwa kweli.
Wajinga wenye husuda, chuki na choyo na gubu ya mioyo ndio mnaandika km ulivyoandika hapa. Kwa akili za maiti hivi lazima ufe maskini
 
Umewasilisha mada kinafki, kihuni na kizushi mno. Unaposema kwa mara nyingine tena, ni lini tena aliunganisha safari yake? Pili huu ni kwaka wa tatu rais akiwa madarakani, inaingiaje akilini kudai eti huu ni mwaka wa tatu rais kuwa nje ya nchi? Acheni ujinga kwenye mambo ya msingi, gawaneni ruzuku kwanza.

Huu ni mwaka wa tatu kuwa madarakani?,wewe utakuwa mhamiaji haramu hata hujui Rais yupo madarakani kwa muda gani?,ile operation kimbunga ilikukosaje aisee?
 
Back
Top Bottom