Rais Jakaya Kikwete njiani kuelekea Kenya kwenye mahadhimisho ya miaka 50 ya Nchi hiyo

jk ni kama kunguru, awezi kukaa kwake hata dk moja, baada ya kenya atapita tz kuwasanifu alafu utackia yupo falme za kiarabu........ Ki fastjet kinatisha

ndy tatizo la hawa wacheza ngoma anawaza tu ngoma anahisi ataikuta nairobi balaa tupu hi mutu
 
Kwa mara nyingine tena Rais Jakaya Kikwete amepiga safari ya juu kwa juu toka South Afrika to Kenya kwenye mahadhimisho ya Miaka 50 ya nchi hiyo iliyopata uhuru mwaka 1963.

Hii safari yake nje ya nchi inamfanya rais wetu kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka 3 toka aingie madarakni na miezi kadhaa.

naomba unikumbushe amefikisha jumla ya trip ngapi?
 
Kwa mara nyingine tena Rais Jakaya Kikwete amepiga safari ya juu kwa juu toka South Afrika to Kenya kwenye mahadhimisho ya Miaka 50 ya nchi hiyo iliyopata uhuru mwaka 1963.

Hii safari yake nje ya nchi inamfanya rais wetu kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka 3 toka aingie madarakni na miezi kadhaa.
Hapo akitoka utasikia kapitia Africa ya Kati kumjulia hali rais wa huko.Jamani Bongo joto sasa hivi mwache aruke ruke tuu apate upepo.
 
Umewasilisha mada kinafki,
kihuni na kizushi mno. Unaposema kwa mara nyingine tena, ni lini tena
aliunganisha safari yake? Pili huu ni kwaka wa tatu rais akiwa
madarakani, inaingiaje akilini kudai eti huu ni mwaka wa tatu rais kuwa
nje ya nchi? Acheni ujinga kwenye mambo ya msingi, gawaneni ruzuku
kwanza.

Mwaka wa tatu madarakani?......tumeshawaambia shule zikifunga mshinde facebook mnang'ang'ania kuja sehemu zinazohitaj Data...nyambaf
 
Kwa mara nyingine tena Rais Jakaya Kikwete amepiga safari ya juu kwa juu toka South Afrika to Kenya kwenye mahadhimisho ya Miaka 50 ya nchi hiyo iliyopata uhuru mwaka 1963.

Hii safari yake nje ya nchi inamfanya rais wetu kuwa nje ya nchi kwa takribani miaka 3 toka aingie madarakni na miezi kadhaa.

Halafu atarudi tena kuzika huko South 15th Dec 2013?
 
Hvi Uhuru naye alikuja kwetu siku ya maadhimisho?
Umeonaee. Yeye sasa ndiye msemaji wa Obama kwa viongozi wengine. Ikulu imetoa picha JK akiwa msibani akiwatambulisha kwa viongozi wengine Raisi Baraka Obama. What was thinking behind kutoa hiyo picha???
 
Hvi Uhuru naye alikuja kwetu siku ya maadhimisho?

Ni miaka hamsini ya uhuru,hivyo ni special kama ilivyokuwa sisi wakati tunasherehekea miaka hamsini,tujaribu kuwa na kumbukumbu,uzito wa mkuu wa nchi kushiriki katika shughuli muhimu kwa taifa fulani ni kubwa kuliko kutuma uwakilishi
 
We nawe,Rais gani wa EAC alikuja tulipokuwa tunasherehekea miaka 50?

[https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/201307-tanzania-yazidi-kushuka-hadhi-kwenye-jumuiya-ya-kimataifa-2.html]
 
Umewasilisha mada kinafki, kihuni na kizushi mno. Unaposema kwa mara nyingine tena, ni lini tena aliunganisha safari yake? Pili huu ni kwaka wa tatu rais akiwa madarakani, inaingiaje akilini kudai eti huu ni mwaka wa tatu rais kuwa nje ya nchi? Acheni ujinga kwenye mambo ya msingi, gawaneni ruzuku kwanza.

Mh Rais unasafiri mpaka wananchi wako wamesahau kuwa upo madarakani kwa miaka 8?,Ona huyu anadhani una miaka mitatu tu,pls my president stay at home and solve ua country's problems!
 
Umewasilisha mada kinafki, kihuni na kizushi mno. Unaposema kwa mara nyingine tena, ni lini tena aliunganisha safari yake? Pili huu ni kwaka wa tatu rais akiwa madarakani, inaingiaje akilini kudai eti huu ni mwaka wa tatu rais kuwa nje ya nchi? Acheni ujinga kwenye mambo ya msingi, gawaneni ruzuku kwanza.

Anaposema mwaka wa tatu anamaanisha kwamba tangu JK aingie madarakani mwaka 2005 mpaka sasa 2013 (takriban miaka 8), ametumia miaka mitatu kuwa nje ya nchi. Yaani 3/8 = 37.5% ya muda wake yupo nje ya nchi.

Nimesomeka?????
 
We nawe,Rais gani wa EAC alikuja tulipokuwa tunasherehekea miaka 50?

[https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...uka-hadhi-kwenye-jumuiya-ya-kimataifa-2.html]

Rais Bingu wa Mutharika wa Malawi akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru leo.
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwaongoza Watanzania pamoja na wakuu, wawakilishi na mabalozi wa nchi zaidi ya 40 duniani katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika leo.

Miongoni mwa wakuu na wawakilishi hao wanatoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Wengine ni wakuu na wawakilishi kutoka Benki ya Dunia (WB) na Umoja wa Afrika (AU).
Sherehe hizo zilizotanguliwa na mkesha wa Desemba 9 juzi, zitafanyika kitaifa katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Mkesha huo ulifanyika katika viwanja vya Kawe, Mnazi Mmoja na Mbagala Zakhem, jijini Dar es Salaam, ulipambwa na burudani mbalimbali, ikiwamo ufyatuaji wa fataki.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Saidiki, ambaye mkoa wake ni mwenyeji wa sherehe hizo, mbali na kuhudhuriwa na wakuu na wawakilishi hao, sherehe hizo zinatarajiwa pia kupambwa na burudani mbalimbali.
Burudani hizo ni pamoja na vikundi vya sanaa pamoja na vijana wa halaiki.

Pia zinatarajiwa kupambwa na gwaride maalum kutoka majeshi ya ulinzi na usalama, litakalokaguliwa na Rais Kikwete.
Desemba Mosi, mwaka huu, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema wakuu wanane wa nchi, makamu watatu wa rais na mawaziri wakuu watatu kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADAC) walikuwa wamethibitisha kushiriki katika maadhimisho ya hayo.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Arusha, Pinda, alisema kuwa kutokana na ugeni huo, serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama imeimarisha ulinzi kukabiliana na tishio lolote la ugaidi kutoka kundi la Al-Shaabab cha nchini Somalia.

"Ulinzi siku hiyo utaimarishwa vya kutosha kuhakikisha viongozi, wakuu wa nchi na wageni waalikwa," alisema Waziri Mkuu Pinda.
Hata hivyo, Pinda hakuwa tayari kuwataja viongozi hao kwa majina na nchi zao, kwa maelezo kuwa ni mapema kutokana na sababu za kiusalama.

Pinda alisema kuwa sherehe hizo pia zitapambwa na gwaride maalumu kutoka vikosi vya ulinzi na usalama, maonyesho ya zana na vifaa vya kivita na halaiki na uhamasishaji itayohusisha vijana 6,550 kutoka shule za msingi na sekondari.

Waziri Mkuu alitaja makundi mengine maalum yatakayohudhuria kuwa ni wazee maarufu, viongozi wastaafu na wajumbe wote wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wakuu wa vyama vyote vya siasa nchini.
 
Kwa kweli hili ni tatizo linalopaswa kujadiliwa. Inakuaje rais wa Kenya hakufika kwenye maadhimisho kama hayo yaliyofanyika TZ mwaka 2011?halafu rais wetu anaenda huko kirahisi hivyo?
 
Baada ya Kenya takuja bongo then Monduli TMA kwa ajili ya Commision maafande wetu...TPDF.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Halafu atarudi tena kuzika huko South 15th Dec 2013?

Si umesikia ilivyotangazwa huko bungeni kuwa ataenda kwenye mazishi na this time ataenda na makamu wa rais pamaoja na msururu wa watu wengine akiwemo Kinana
 
Back
Top Bottom