Rais Jakaya Kikwete mgeni rasmi Siku ya Mashujaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=3][/h]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Jakaya Mrisho Kikwete keshokutwa (25/07/2011) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya kumbukumbu ya Mashujaa itaayofanyika kitaifa Naliendele, Mtwara.

Kwa mujibu wa ratiba ya Maadhimisho iliyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Rais akiwa katika uwanja wa kumbukumbu ya mashujaa wa Naliendele, atawaongoza viongozi wenzake kuweka silaha za asili katika mnara wa mashujaa.
 
rais mzima kashindwa kuondoa mgao anangojea mvua.. Sasa kuna tofauti gani na kipindi cha ujima?
 
[h=3][/h]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Jakaya Mrisho Kikwete keshokutwa (25/07/2011) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya kumbukumbu ya Mashujaa itaayofanyika kitaifa Naliendele, Mtwara.

Kwa mujibu wa ratiba ya Maadhimisho iliyotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Rais akiwa katika uwanja wa kumbukumbu ya mashujaa wa Naliendele, atawaongoza viongozi wenzake kuweka silaha za asili katika mnara wa mashujaa.

Du hizo ndo zimebaki kazi zake kubwa maskini. Kweli chukua akili za kwako changana na za mbayuwayu
 
Back
Top Bottom