Rais Jakaya Kikwete leo asubuhi amekutana na baraza lake la Mawaziri Ikulu kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Jakaya Kikwete leo asubuhi amekutana na baraza lake la Mawaziri Ikulu kulikoni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Mar 16, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  [​IMG]
  President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete chairs a cabinet meeting at Dar es Salaam State House this morning
  [​IMG]
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Upupuuuuu!!!!!
   
 3. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  so what!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,164
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Hakuna kipya,
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  tamko la mipasho bado ..... ? siku hizi utekelezaji wa sera zisizotekelezeka ni matamko na kupayuka tuu ....
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mbona kama wanakula soga tuuu!
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 4,998
  Trophy Points: 280
  ..mbona Dr.Shein haonekani?

  ..hii si mara ya kwanza Dr.Shein kukosekana kwenye kikao cha baraza la mawaziri.
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Labda ndio kujadili kufuta kodi kwa Makampuni ili kusaidia hali mbaya nchini
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  its not important for his chairmanship . we would like to know what he table and the decision they make for our country.

  Thank you anyway please give us more data if u can.
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  mbona sisikii maneno?
   
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Secret
   
 12. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  .....Ni kweli, kwa mujibu wa katiba ya Muungano, Ibara ya 54, Rais wa Zanzibar nae ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, sijui ni kwanini Shein hayupo lakini pia sijajua mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yanasemaje kuhusu hili.
   
 13. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ungetoa walichosema ningekuona wa maana sana. Kutupa picha tu maana yake sisi tuje na tafsiri zetu. Sasa kutokana na picha nimejifunza kwamba, mawaziri si washauri wa raisi bali ni watumishi wake tu, kwani katika mkao wa namna hii hakuna mjadala bali kinachotoka hapo na instructions tu. Mbili picha inaonesha raisi alikuwa anawastrorisha hawa jamaa tu. Tatu picha inaonekana kama vile kulikuwa na ushuhudu unatolewa tu kuhusu dawa ya Loliondo. Nne katika picha ya kwanza inaonekana raisi anaseme kitu na waziri mkuu na Sita wanaongea yao halafu wengine wanajisomea mambo yao tu, hawamsikilizi raisi kabisa kwani makabrasha wangeweza kuyapitia baadae. Tano chumba walichofanyia mkutano ni kidogo mno hawawezi hata kupishana, hii ni aibu. Sita, mawaziri siyo creative kwani raisi anawafundisha kamba watoto wadogo ktka pic ya pili.
  Hakuna lolote.
   
 14. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kuna taarifa leo JK amekutana na Baraza lake la mawaziri ikulu jijini dar, je kuna anayejua kilichojiri?
  GO9G9973.JPG
   
 15. d

  defence JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 13, 2008
  Messages: 508
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  Yawezekana alikuwa anatoa ushuhuda wa dawa ya loliondo,
  huku akihimiza watu kawa Wassira wahakikishe wanafika kwa babu,
  sidhani kama kuna jipya:lol::lol::lol::lol:
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wanatafuta namna ya kujiongezea posho bila shaka!
   
 17. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Itakuwa kuhusu mpunga wa DOWANS.
   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mongolwe kila nchi ina utaratibu wake kuna nchi baraza la mawaziri hukutuna kila wiki,wengine mara 2 kwa mwezi na wengine mara 1 kwa mwezi,ni mambo ya kawaida na hayahitaji kukustua.
   
 19. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jamani tuonaomba basi walichojadili. Kama kuna mwana jf mwenye minutes za mikutano atupatie basi.
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hawana jipya hao...kwani ni mara ya kwanza kukaa kwenye hivyi vikao...mbona no changes....
   
Loading...