Rais Jakaya Kikwete Kwenye Kazi ya Upatanishi Huko Ivory Coast | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Jakaya Kikwete Kwenye Kazi ya Upatanishi Huko Ivory Coast

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Feb 23, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  WAKUTANAPO MARAFIKI WANAOFANA KWA VITENDO VYAO
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa na Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo muda mfupi baada ya kuwasili jijini Abidjan kwa mazungumzo ya kutafuta suluhu na mpinzani wa Gbagbo Bwana Allasane Ouatarra. Rais Kikwete yupo katika jopo la kamati maalumu ya Viongozi wa Afrika walioteuliwa na Umoja wa Afrika(AU) kutafuta suluhu ya kisiasa nchini Ivory Coast.Viongozi wengine walio katika kamati hiyo ni pamoja na Rais Jackob Zuma wa Afrika Kusini,Rais Idriss Deby wa Chad,Rais Blaise Compaore wa Burkina Fasso na Mwenyekiti wa kamati hiyo Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa Mauritania.
   

  Attached Files:

  • 3.jpg
   3.jpg
   File size:
   143.7 KB
   Views:
   24
 2. s

  salisalum JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tabasamu lake labda litaleta suluhu kwa hawa jamaa. Jamaa huwa anababaisha sana wasiomjua na haiba yake hiyo.
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Anakaribihwa kwa kuamboiwa aisee wewe ulifanikiwa vipi kuchakachua nasikia uliambulia asilimia 34 kihalali? JK anajibu Mitanzania imelala doro so haiwezi kushtuka hivi sasa tuna mpango wa kujilipa dowans
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo ni kama anasema Dr. Slaa nae angekomaa kama Allasane ndie (Dr. Slaa) angekuwa hapa anasuluhisha!
   
 5. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ya kwake yamemshinda hapa nyumbani huko atasuluhisha nini kama sio unafiki mtupu. tatizo la dowans tu hata kulizungumzia anaogopa
   
 6. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akamshauri Gaddafi aachie ngazi asipopigwa missile ya tabasam
   
Loading...