Rais Jakaya Kikwete amzibia ‘masikio’ Lissu

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
JK.jpg

RAIS Jakaya Kikwete

Jana kiongozi huyo wa nchi, aliwaapisha majaji wapya wa Mahakama ya Rufaa ambao ni Jaji Profesa Ibrahimu Juma na Jaji Bethewel Mmilla.Kabla ya uteuzi huo Jaji Mmilla (56) alikuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, wakati Jaji Juma (54) alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania

RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kuteua majaji wapya licha ya madai kwamba baadhi ya majaji wanaowateua, hawana sifa.
Hivi karibuni, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, alitishia kumpeleka mahakamani Rais Kikweke, kwa madai kuwa amekuwa akiteua majaji wasiokuwa na sifa.

Jana kiongozi huyo wa nchi, aliwaapisha majaji wapya wa Mahakama ya Rufaa ambao ni Jaji Profesa Ibrahimu Juma na Jaji Bethewel Mmilla.
Kabla ya uteuzi huo Jaji Mmilla (56) alikuwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, wakati Jaji Juma (54) alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Rais Kikwete pia aliwaapisha Jaji mstaafu John Mkwawa kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Winfrida Korosso kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria.
Akizungumza baada ya kuapishwa, Jaji Profesa Juma, aliwaasa wananchi kuwa na tabia ya kupenda kusoma hukumu na kupitia mwenendo wa kesi, ili wasipotoshwe.

Alisema upungufu wa majaji na mahakimu, unatokana na mfumo mzima wa sekta hiyo na kwamba jukumu la mahakama walilojiwekea kesi zote ziwe zimeisha ndani ya miaka miwili.
Naye Jaji Mkwawa, alisema watajitahidi katika uchaguzi mkuu ujao ili kuhakikisha kwamba matokeo yanatolewa kwa wakati.
 
Hivi akiitwaJudge Juma kuna shida gani?itamuondolea Uprofesa au? Misifa inawasumbua sana watz..mbona Obama ana PHD nani ulishasikia anamwita Dk?
 
Obama hana PHD Mkuu Somoches

Wana JF,

Tanzania hii ni vichekesho. As a member of the bar, I am sure that Judge Juma and Judge Mmila who have been appointed as Justices of Appeal have done a little to deserve such an appointment. The fact that one is a professor does not per se make him qualify for an appointment of the Justice of Appeal and it is here that I am saying Baba Mwanaasha is wrong and he is taking our judiciary to the wrong way.

Just to remind you that we had vibrant judges such as Justice, Dan Mapigano, Justice Lugakingira and Justice Mwalusanya who have contributed alot to the development of the law and delivery of justice in Tanzania. These judges have made precedents in alot of issues and the cases which were decided by them remain outstanding precedents todat. Despite their ernomous contributions in the delivery of justice, they ended serving the Bench as High Court Judges. What have Prof. Juma and Mmila done to deserve an appointment as justices of appeal?

There are other judges who were appointed as justices of appeal but they had done nothing prior to deserve such an appointment. Madam Justice Mjasiri, to mention but a few, did nothing while serving as a High Court Judge to deserve an appointment as justice of appeal. What led to her appointment was the relationship her father had with those in power. Poor appointing authority!!!! We also have people serving as judges of the High Court but from their conducts, expressly and impliedly, they did not qualify to serve as such. A judge like Chinguwile (High Court Judge). If we had a system of doing/making evaluation of the works of our judges, I am sure most of them would have been recommended not to continue serving as members of the Bench

If we proceed this way (appointing people to certain positions because of the relationship we have with them), we will still have alot to be desired to realize that justice is not only be done but seen to be done.
 
Hivi akiitwaJudge Juma kuna shida gani?itamuondolea Uprofesa au? Misifa inawasumbua sana watz..mbona Obama ana PHD nani ulishasikia anamwita Dk?

nami sikua nalijua hilo kuwa yule ni Dr Obama,lakin pia kule utamtishia nani na PhD?
 
Wana JF,

Tanzania hii ni vichekesho. As a member of the bar, I am sure that Judge Juma and Judge Mmila who have been appointed as Justices of Appeal have done a little to deserve such an appointment. The fact that one is a professor does not per se make him qualify for an appointment of the Justice of Appeal and it is here that I am saying Baba Mwanaasha is wrong and he is taking our judiciary to the wrong way...
Unakumbuka jana ulituahidi nn hapa mkuu juu ya uteuzi wa kati ya hawa watu? plz tujulishe maana ulisema ungerudi kwa ajili hii mkuu.
 
hivi akiitwajudge juma kuna shida gani?itamuondolea uprofesa au? Misifa inawasumbua sana watz..mbona obama ana phd nani ulishasikia anamwita dk?
na mimi naomba niulize ulishasikia wapi america au ulaya kiongozi yeyote wa kisiasa hata kama ni profesa anaitwa kwa tittle yake kama huku kwetu?
 
Sasa hapa ndio Tundu ndio asimamie vidole gumba ili bunge litumike katika kazi zingine za maana zaidi
 
na mimi naomba niulize ulishasikia wapi america au ulaya kiongozi yeyote wa kisiasa hata kama ni profesa anaitwa kwa tittle yake kama huku kwetu?

Huko western usemako hata maprof. wa vyuoni hawajiiti prof. Au dr., wengi wanaprefer first names zao, bongo shule ngumu, kuoneana, etc wacha wajiite!
 
Tupe wasifu wa hawa walioapishwa jana kama na wao wana kasoro alizosema Lissu.
 
Obama hana PHD Mkuu Somoches

No. President Obama earned a J.D.--a Juris Doctor (Doctor of Law) in 1991 from Harvard Law School.Actually, at one time, the basic law degree was an LLB, or Bachelor of Legal Letters, followed by the LLM, Master of Legal Letters, followed by the LLD, Doctorate of Legal Letters. However, lawyers, being egotistical, decided that if mere physicians could call themselves "doctor" then they should be able to also. So, they changed the LLB to the JD, Juris Doctorate. What a surprise!! Lawyers got big egos. Who knew?

Huyu je ushawahi kusikia anaitwa Dk au Profesa?

453px-Condoleezza_Rice_cropped.jpg
 
cha msingi ni kuwa lissu alisha mopa ukweli wote huyo jamaa yenu sasa kama anazuga hajui kuwa majaji wengine ni vilaza shauri yake .mm nasoma hapa open university of tanzania kuna jaji mmoja amemteua hivi karibuni ndo anasoma evening class ya masomo ya sheria hapa.AMINIO USIAMINI.
 
nampongeza Jk ila nina mashaka na uteuzi wa jaji juma kuwa jaji wa rufaa
ameingia majuzi kuwa jaji ni mapema mno kuingia rufaa
utendaji wake bado una mashaka kuweza kuingia rufaa
kaawacha majaji wazuri na wenye weledi zaidi yake,
kuwa jaji wa mahakama ya rufaa sio lelema isichukuliwe kisiasa
 
Wana JF,

Tanzania hii ni vichekesho. As a member of the bar, I am sure that Judge Juma and Judge Mmila who have been appointed as Justices of Appeal have done a little to deserve such an appointment. The fact that one is a professor does not per se make him qualify for an appointment of the Justice of Appeal and it is here that I am saying Baba Mwanaasha is wrong and he is taking our judiciary to the wrong way.

Just to remind you that we had vibrant judges such as Justice, Dan Mapigano, Justice Lugakingira and Justice Mwalusanya who have contributed alot to the development of the law and delivery of justice in Tanzania. These judges have made precedents in alot of issues and the cases which were decided by them remain outstanding precedents todat. Despite their ernomous contributions in the delivery of justice, they ended serving the Bench as High Court Judges. What have Prof. Juma and Mmila done to deserve an appointment as justices of appeal?

There are other judges who were appointed as justices of appeal but they had done nothing prior to deserve such an appointment. Madam Justice Mjasiri, to mention but a few, did nothing while serving as a High Court Judge to deserve an appointment as justice of appeal. What led to her appointment was the relationship her father had with those in power. Poor appointing authority!!!! We also have people serving as judges of the High Court but from their conducts, expressly and impliedly, they did not qualify to serve as such. A judge like Chinguwile (High Court Judge). If we had a system of doing/making evaluation of the works of our judges, I am sure most of them would have been recommended not to continue serving as members of the Bench

If we proceed this way (appointing people to certain positions because of the relationship we have with them), we will still have alot to be desired to realize that justice is not only be done but seen to be done.
Jaa la Kaya the historic prezidah next to IDD Amin Dada who did not know the value of professionalism up to appointing the cleaner as the Bank of Uganda Governor for "printing bank notes for the president". Crazy! we may not feel the severity of the bomb created now but its future blast will be more than Rwandan genocide!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom