Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Mimi kila wakti nawashauri GT msipende kulalama bali muwe mnapoteza kidogo muda wenu kusoma Kkatiba yenu ya Muungano.
Someni Katiba ya Muungano inavyozungumzia mamlaka ya rais wenu katika sharia namba 15 ibara ya 9 ya mwaka 1984 na marekebisho yake katika sharia ya namba 3 ibara ya 6 ya mwaka 2000. kifungu cha 36 sehemu 2 inasema:

(2) Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushikanafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera zaidara na taasisi za Serikali, na watendaji wakuu wanaowajibikakusimamia utekelezaji wa sera za idara na taasisi hizo katikautumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, nafasi ambazozimetajwa katika Katiba hii au katika sheria mbalimbalizilizotungwa na Bunge kwamba zitajazwa kwa uteuziunaofanywa na Rais.