Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Akamata Jiko Jingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Akamata Jiko Jingine

Discussion in 'International Forum' started by eliakeem, Apr 23, 2012.

 1. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,918
  Likes Received: 1,024
  Trophy Points: 280
  Wana JF Zuma anatisha..... angalia anavyo jua kuchagua..... halafu huyu m'mama atakuwa wa kinyakyusa.... muangalie hata lips zilivyo pana.... tehe tehe....

  Kwa taarifa zaidi tembelea...
  MICHUZI: Prezidaa Jacob Zuma avuta jiko lingine
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa ndoa kwake c BASIC NEEDS TENA
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Namshangaa jamaa sana. yeye kazi yake ni kumwaga mbegu tu kushoto na kulia.
   
 4. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,918
  Likes Received: 1,024
  Trophy Points: 280
  Anadumisha mila... ile ingine ilisha shindwa..... anajiita yeye ni chifu.
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  waafrika ni hapo mbele tuu mawazo yetu!huku umaskini ukitawala kila kona ktk nchi zetu
   
Loading...