Rais J.K hateui wakuu wa Mikoa na Wilaya, kulikoni?

[1] Hivi wakuu wa Mkoa na Wilaya wanafanyakazi gani ?.

[2] Mkoa wa Dar na Kilimanjaro haina wakuu wa mkoa je mikoa hiyo imekosa maendeleo,ulinzi na usalama ?. Jibu ni hapana wakuu wa mikoa na wilaya hawana kazi nafasi zao ni zakikoloni zaidi.

Komredi anatumia katiba ipi katika kutoteua hawa maafisa ile ya ZNZ au JMT. Nilikuwa nashauri akiteua wa Dar awe mwanamke kwani tangu enzi za mama chipungahewa (chips) haja teuliwa mwanamama tena. Naomba watumie vigezo walivyotumia kumpata current spika.

Habari za ndani zinasema kila kukicha anabadilisha list..........

Pengine baada ya Eid anaweza kuwatangaza wakuu wa Mikoa!

2015-2011=4 yrs of suffering. Walipewa kofia na tishet mwaka jana mtavaa kwenye sikuku?, au zimechakaa, best wishes.

[1] Hivi wakuu wa Mkoa na Wilaya wanafanyakazi gani ?.

[2] Mkoa wa Dar na Kilimanjaro haina wakuu wa mkoa je mikoa hiyo imekosa maendeleo,ulinzi na usalama ?. Jibu ni hapana wakuu wa mikoa na wilaya hawana kazi nafasi zao ni zakikoloni zaidi.

wapo wanao kaimu. Naona hivi vyeo havna tija yoyote ni wiz,

Kaafikiana na CDM waliposema ni mojawapo ya nafasi/vyeo watakavyofuta maana havina tija katika utendaji na maendeleo ya Tanzania ya sasa, thats why Jk ni msikivu!

Riz'one amekuwa buzy na his new trucking business hajapata Muda wa kumpangia mshua list ya Mafisadi wa Mikoa na Wilaya. Fact!.

Ninaamini Rais J.K ni msikivu sana.........Pengine ametingwa na mambo mengi.........pale Magogoni

anasubiri cuzn na marafiki zake wamelize Degrees na phd tehe whom you know nt what you . . .

Back
Top Bottom