Rais huwa apelekewi umbea na kila mtu

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,201
Igweeeee! Tumefika hapa baada ya pilikapilika ya utumbuaji mtumbuaji ameusoma mchezo na sasa amegeukia wale wanamletea umbea. Je nikweli kila mtu anahaki yakumpelekea rais umbea? Jibu ni hapana

Ukipata nafasi yakuwa na rais unapaswa kumpelekea issue za msingi sio watu kwasababu issue za watu mkulu anazijuwa kuliko unavyo zijuwa wewe anawatu maalumu wanao mpelekea issue za watu kwa undani hao watu upeleka umbea wote unao ujuwa wewe na hiyo ndio kazi yao maalumu.

Viongozi pia wapo maalumu wanao peleka umbea kwa baba ila ndio wanakibali wewe kama huna kaa kimya unajiaribia.

Je umbea wote unachukuliwa?
Hapana ipo team inachukuwa umbea wote kwenye mtandao nakufanya uchambuzi kisha ndipo yale muhimu yanapelekwa kwa team ya rais ikulu.

Je umbea ndio unao tumika kufanya maamuzi?
Jibu ni hapana umbea unachukuliwa kwanza na kufanyiwa uchunguzi na team maalumu kabla ya maamuzi.

Je kiongozi wa juu anapaswa peleka umbea on special occesion?
No fuwata channel unapo pata nafasi yakuwa na rais lazima uchunge maongezi yako maana unaongea na taasisi au ongea mambo yakushauri na kumpongeza.......
 
Majibu ya Bible Story 17/07/2016.
Yesu alikuwa hekaluni alipoletewa mwanamke aliyekamatwa akizini.
Waandishi na mafarisayo ndio waliompeleka mwanamke kwa Yesu (wakimjaribu Yesu ili wapate sababu ya kumshitaki)
Habari hii inapatikana katika kitabu cha YOHANA 8:2-11
 
TumainiEL, kwanza pole kwa kipigo ktk uchaguzi mwaka jana.

WanaEL naona mlirukaruka weeeee lakini naona mmetuliza kitenesi na sasa Mnakiri JPM ndie rais wetu sote.

Kuhusu suala umbea, hilo tumwachie yeye JPM maana hata ulichokitoa hapa kama ushauri inaweza pia tafsirika kama Umbea uleule.

Nikutakie Jumapili njema wakati dozi inaendelea kuwaponya
 
Igweeeee! Tumefika hapa baada ya pilikapilika ya utumbuaji mtumbuaji ameusoma mchezo na sasa amegeukia wale wanamletea umbea. Je nikweli kila mtu anahaki yakumpelekea rais umbea? Jibu ni hapana

Ukipata nafasi yakuwa na rais unapaswa kumpelekea issue za msingi sio watu kwasababu issue za watu mkulu anazijuwa kuliko unavyo zijuwa wewe anawatu maalumu wanao mpelekea issue za watu kwa undani hao watu upeleka umbea wote unao ujuwa wewe na hiyo ndio kazi yao maalumu.

Viongozi pia wapo maalumu wanao peleka umbea kwa baba ila ndio wanakibali wewe kama huna kaa kimya unajiaribia.

Je umbea wote unachukuliwa?
Hapana ipo team inachukuwa umbea wote kwenye mtandao nakufanya uchambuzi kisha ndipo yale muhimu yanapelekwa kwa team ya rais ikulu.

Je umbea ndio unao tumika kufanya maamuzi?
Jibu ni hapana umbea unachukuliwa kwanza na kufanyiwa uchunguzi na team maalumu kabla ya maamuzi.

Je kiongozi wa juu anapaswa peleka umbea on special occesion?
No fuwata channel unapo pata nafasi yakuwa na rais lazima uchunge maongezi yako maana unaongea na taasisi au ongea mambo yakushauri na kumpongeza.......
Kwa nini hujui tofauti kati ya ajui na hajui? mnaboa.
 
TumainiEL, kwanza pole kwa kipigo ktk uchaguzi mwaka jana.

WanaEL naona mlirukaruka weeeee lakini naona mmetuliza kitenesi na sasa Mnakiri JPM ndie rais wetu sote.

Kuhusu suala umbea, hilo tumwachie yeye JPM maana hata ulichokitoa hapa kama ushauri inaweza pia tafsirika kama Umbea uleule.

Nikutakie Jumapili njema wakati dozi inaendelea kuwaponya
Embu tafuta uzi zangu zote alafu utaju JPM nani kwangu...
 
Salute sana Tumainel,

Nilikuwa sijakupata insight. JPM tumwache ainyooshe hii nchi, ana taasisi inayoratibu kila kitu. Hopeful wanajitahidi kufanya kazi kwa weredi
 
Back
Top Bottom