Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,314
- 38,452
Mimi si mtaalamu wa Sheria lakini leo nimemsikia Mheshimiwa Rais akisema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ali-endorse sheria ya madawa ya kulevya tarehe 11/05/2015. Je kwenye Lugha za kisheria Rais huwa anaposaini sheria pendekezwa huwa ana-endorse ama ana-assent hiyo sheria?
Kuuliza si ujinga!
Kuuliza si ujinga!