Rais hatoi pesa, anaidhinisha pesa ya Serikali, wanasiasa waache cheap popularity

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,945
28,401
Utasikia

Rais katoa milioni 500 kila halmashauri, ili kutengeneza mazingira ya sifa nyepesi tena wengine ni watu wazima na wengine wamesoma hapo unaona ina maana tunageuzwa hatuelewi mambo yanavoenda au inakuaje?

Watanzania naamini wengi tunaelewa Rais ni mtumishi wetu yaani sisi ndio mabosi zake na tumemwajiri hivo yeye hana uwezo wa kutoa pesa anaidhinisha au anasaini pesa zetu ziende kwenye mradi fulani.

Kuanzia sasa wanasiasa mnatakiwa kusema serikali imetoa kiasi fulani kwenye mradi fulani, maana ile ni kodi yetu mnayokusanya,

Hua tunasikiliza tunabaki tunacheka maana ujamaa uliwaathiri wanasiasa wetu hadi inakua aibu kubwa kwao kua na mawazo huru yanayojitegemea.
 
CCM hai kwa sofa na kujikombakomba kwa raid ili wapate uteuzi. Tuna tatizo na siasa zetu kiukweli mana hatuna wanasiasa tuna wachumia matumbo.
 
Back
Top Bottom