Rais halisi na Rais wa mioyoni mwa Watanzania wote watatutumikia?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,679
1,250
Kumekuwa na tuhuma za uchakachuaji wa matokeo ya urais na aliyetangazwa mshindi na aliyeshindwa wote wana wafuasi wengi.Je kwa maendeleo ya nchi yetu wote wanaweza kututumikia kwa maendeleo ya nchi yetu?
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,604
2,000
Katika mashindano yoyote kunaweza kutokea mambo 2 Kushinda au kushindwa sasa inategemea wewe ulishinda au umeshindwa sasa kama Rais kashinda basi anafaa kuwa Kiongozi wetu la kama alishindwa Rais kwanini wasingempa huyo mpinzani wa Rais aliyeshinda?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom