Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

Umeongea point Sana,

Mfano hai,kwa hii hii katiba tuliyonayo...inavunjwa waz waz kama hii ishu ya covid-19 hawa wa chadema...

Imetumika nguvu gan hasa hata ya kupelekea wananchi kuona uzito wa hilo suala lenyewe,si unaona wamerud kukaa kimya wakisubir huruma ya CCM??

Wangekuwa na akili kidogo wangeanza kudai tume huru ya uchaguz,wanaacha kuanza na vitu vya msingi wanakimbilia mambo MAKUBWA ambayo hata wenyewe ndan ya Chama yamewashinda
Juzi Jerry slaa amewasaidia pahala pa kuanzia, baadala ya kushikilia hapo wanakimbia na katiba. Shinikiza vifungu kwanza na baadaye ndipo katiba nzima. ‘Watu wote walipe kodi kuanzia Rais’ hapo wananchi watawaelewa.

Hivi unajua kuwa nia yao ni kuhakikisha katiba mpya inapunguza mamlaka ya Rais na huyo huyo Rais aipitishe, are we serious kweli? Nani anaweza kuingiza kichwa chake katika mdomo wa mamba kama siyo teja?
 
Hizi dini zilizoletwa na meli zimeharibu akili zetu waAfrika hadi tunatia kinyaa.

Tangu lini umekuwa msemaji wa Ikulu !.Rais angekuwa Irene au Stellah ungekuja na andiko lako la kipuuzi na unafiki.

1.kwann katiba ya chadema imeondoa kikomo Cha utawala wa mwenyekiti wa Chama,ana miaka zaid ya 17 bado yupo,

2.kwann nyinyi makamanda chama kikiitsha maandamano muende barabaran kuipigania chadema hamuend badala Yake mnabakia mitandaoni tuh mnamaanisha nin?

Mnaogopa polisi au mnawasaliti viongoz wenu??
 
Wake up,chadema hawapo for constitution reforms,they are after regime changes,kama kweli wangekuwa Wana uchungu na katiba wangetuonesha mfano kwa kuanza na katiba ya Chama Chao kwanza,
You are missing the point.Katiba mpya itawapa walala hoi kumchagua mtu wanayempenda.Haiwezekani serikali za mitaa chama kimpja kipate ushindi wa 100% na katika bunge chama kimoja kipate ushindi wa 99%.

Ndio maana sheria kandamizi kama kodi za mihamala zinapitishwa huko bungeni
 
Sikuwahi kuwa upande wa mwendazake siyo kwa kuwa ni mkristo,Kwan hawa chadema ambao mwendazake alikua akawapa kibano ni waislam?ni wakristo wenzake hawa kina Mbowe,lkn nilimkataa kwa movement zake,Ila amekuja ambae at least anaonesha kutaka kufanya kaz na hawa wanasiasa uchwara kama chadema wanajifanya wanataka kuwa majabali wataweza vip kushindana na dola?
Hauna akili
 
@Mohamed Said Na THE BIG SHOW ni wadini kupindukia.
Leo hii hawa hawaoni baya kwa uongozi wa Mh.Samia kisa tu ni muislam mwenzao.
Watanzania wenye msimamo tumebaki wachache kama idadi ya faru weupe.

Hilo la udini ni kweli,sisi ni wadini...

Ni waislam Alhamdulillah,tumezaliwa waislam na Inshallah tunaomba Allah tufe hali ya kuwa ni waislam,maana instead of kufa Muislam ni hasara katika maisha haya ya ulimwengu had kesho akhera,

Hatumtetei Samia kwa kuwa ni Muislam mwenzetu,Ila kama mutamzonga zonga kwa kuwa tuh yeye ni muislam. Basi tutakesha kumtetea,asihukumiwe kwa iman yake,ahukumiwe kwa sera zake na Chama chake
 
Friends and Enemies,

Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake,

Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga mkono juhud za mwendazake,kumbe walimuelewa...JPM alikuwa anazungumza lugha ambayo kumbe kwao ilikua inaeleweka...

Baada ya samia Hassan SULUHU kuingia madarakan,wakaja Tena na hoja hiyo akawapa majibu kuwa nimewaskia,give me time nitaifanyia Kaz,nitarudisha uhuru wa habar, demokrasia na pia Soon or later nitakutana na wapinzan tuyazungumze kwa pamoja na kutibu majeraha ya pande zote mbili,, I guess like that was a huge mistake that president SAMIA did,..hawakuilewa lugha ile, instead ndipo wanaanza harakat zao wanazoziita constitution reforms,na mambo mengine mengi kisa wameona huyu alieopo saiz ni weak na ni mwanamke,she's weak kama alivyokawa kikwete ngoja tumuendeshe had ashindwe kuongoza nchi hii,,

Madam president,hakuwatuma polisi wamkamate mbowe na kumpa kesi ya ugaid,hiyo ni kaz ya polisi,

After all chadema hawapo real kwenye HILI suala la katiba,they are not fighting for constitution reforms, instead they are after regime changes tuh,ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa hivi,hii ni kwa maslahi yao tuh,

Kama wanamanisha kweli basi wangeanza na chama Chao kwanza kufanya hizo reforms,kama wameshindwa ndan ya chama Chao kufanya hizo reforms wataanzaje kuwaza katiba ya nchi??

Kama chadema wameamua kumfundisha madam president lugha ambayo wao chadema wanaielewa vyema kama ambavyo walikuwa wanaielewa ile ya marehem JPM basi wazungumze nae hiyo lugha,kukimbilia CNN au BBC haitawasaidia...
Maelekezo ya kuwakamata wapinzani na kuwafrem kesi za ugaidi ni maelekezo kutoka state!
Samia hakwepi laana, tupo humu vyomboni na tutavujisha kila kitu tumuaibishe shetani, ifike mahali ccm muheshimu wenye nchi yao(watanzania).
 
Ulishawahi kuwaza siku binti yako wa miaka 7 hivi anakuliza baba we we na mama usiku mnapokuwa mmelala mnaota ndoto na mnalia kwa sauti kubwa sana mpaka mnamshitua usingizini, utamjibu nini? Nanachotaka ujue kuwa we we ni bado mtoto ktk watu wazima. Unisamehe lkn nakuombea unielewe, uwe na amani anyway.
Mtoto wa miaka 7 unalala nae vipi kwa mfano..unaanza anza vipi? Mnakaa chumba kimoja? Kwanini asilale sebuleni kama mna chumba kimoja..
 
Ain't nobody give a damn about chadema,

Nan anahangaika nao?wao ndiyo wanahangaika na sisi wananchi Tena kwa maslahi yao,lin sisi tumewatuma chadema kupambana kwa jasho na dam hivyo kudai katiba mpya?lin...
Katiba inayodaiwa sio ya chadema ni ya nchi
 
Wameambiwa mikusanyiko lazima ipate kibali kutoka kwao,na hiyo ni order kama Wana kaidi sasa unataka wafanywe nin,

Pia nanyinyi muache ufala wa kulalamika tuh kwenye keyboard kwann hamuingii barabaran kuandamana??

Mtakaa kifala fala kwenye social media had Lin??ingien barabaran makamanda
Jana CCM mikutano wamefanya chadema wameomba kibari wamenyimwa hapo unaona kuna haki?
 
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar,ooh yes hiyo ndiyo lugha ambayo wao chadema wanaielewa...wasikimbilie CNN

Kwahiyo mama wa kambo ameshindwa kuwakamata waliojiunganishia bomba la mafuta hapa Dar kwakuwa ni mwanamke ama? Leo naona hujasema kwakuwa yeye ni muislamu japo utetezi wako ni wa mrengo huo. Huyo Magufuli unayesema eti watu walinyamaza kuhusu katiba mpya, si ndio huyo alizuia mikutano nchi nzima, na bado kwenye chaguzi zote ilibidi anahisi uchaguzi? Si ndio huyo alimiliki kundi la watu wasiojulikana ili kuteka na kuua watu? Ni kesi ngapi zimewakuta wapinzani kipindi chake kama watu walikuwa kimya?

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule dhalimu na sasa yuko motoni. Sasa hivi tuko na huyu mama wa kambo ambaye kwako ni muislamu. Ni hivi, tunataka katiba mpya, awe ni mama wa kiislamu au baba wa kikristo ni lazima ipatikane. Hiyo reforms ya cdm kaidai ww, sisi tumeamua kudai hii ya nchi. Hutaki kunywa sumu ufe.
 
Ila chadema na watu wao kama mdude nyagali,,yericko nyerere na kigogo ndiyo mnaona Wana akili eeh??
Sasa wewe una akili gani ya kumzidi kigogo?


Mtu serikali kaiweka uchi na wameshindwa kumpata utamlinganisha na wewe mlawiti watoto madrasa?
 
Rais aendeleze lugha ileile ya hayati JPM....ndiyo lugha wanayoielewa.....

Ni kweli CHADEMA wanataka REGIME change.....

Katika vipindi kama hivi....NGUVU PEKEE NDIO SULUHISHO.....

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
1.kwann katiba ya chadema imeondoa kikomo Cha utawala wa mwenyekiti wa Chama,ana miaka zaid ya 17 bado yupo,

2.kwann nyinyi makamanda chama kikiitsha maandamano muende barabaran kuipigania chadema hamuend badala Yake mnabakia mitandaoni tuh mnamaanisha nin?

Mnaogopa polisi au mnawasaliti viongoz wenu??

Takbir takbir 🕌
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom