Hata Kama ingekuwa kweli sasa katiba ya chadema, act, nccr, ccm nk inahusiana vip na katiba ya Tanzania ya Watanzania? Kwani katiba ya nchi inazaliwa na katiba za vyama? Yaani baba unahalalisha kazi yako ya wizi kwa hoja kwamba hata mwanao wa kumzaa naye Ni mwizi!!!!!Wewe ndiyo bogus,we unakubali vip mbowe akupiganie katiba mpya Ili hali katika katiba ya chama chake kajiongezea muda wa kukaa madarakan kwa kuondoa Kikomo Cha kukaa madarakan??
Miaka 17 yupo hatak kutoka akipewa nchi si atakuwa kama museven huyo