Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 901
Kwako Rais,
Pole sana na Majukumu ya kuongoza Taifa, si kazi ndogo, Pili nikupongeze kwa juhudi nzuri za kuongoza iwapo nawe ni Binadamu kama mimi na yule na mwingine.
Niende moja kwa moja kwenye Hoja yangu. Najikita kwenye Hoja ya Uchaguzi na Chaguzi. Kila mtu tunajua kila Chaguzi na Uchaguzi unapofanyika ni Mapesa mengi sana yanatumika ya Mlipa Kodi ambae ni Mimi na Wewe Rais na Mwananchi. Ili uweze kuokoa mapesa mengi ya Mwananchi nakuomba ufute hizi Chaguzi, Kama ulivyopiga marufuku Siasa mpaka 2020, pia piga marufuku Chaguzi zozote mpaka 2020. Mimi binafsi Rais sioni maana tena ya hizi Chaguzi, maana mawazo na maoni yetu Wananchi hayaheshimiwi tena.
My Take: Nina uhuru wa kutoa maoni yangu.