Rais Felix Tshisekedi wa DR Congo kuwasili nchini Juni 13, 2019

Chama cha Wafanyabiashara na viwanfa jiandaeni chap chap na wafanyabiashara wenu juzi Raisi kafoka kuwa hamjipangi hata business card tu mnakuwa hamnazo.Wizata ya biashara na wizara ya uchukuzi hii ziara ya kwenu nendeni na wadau wa sekta ya biashara na uchukuzi msiende na maofisa serikali waliohama suti na Makoti makubwa wakati kichwani mweupe hawajui biashara wala nini.TIC wahini na Muwe na presentation waelezeni fursa zolizopo incentives nk iandaeni brief ipelekeni ikulu ichanganywe kwenye speech ya president .Andaeni copy mbili Moja kiswahili ingine kifaransa.Sehemu zote andaeni wakalimani wa kifaransa.Ikulu pia awepo mkalimani wa kifaransa
Uko vzr
 
Ndugu zangu,

Rais mpya wa DRC ndugu Felix Tshisekedi atazuru nchini kesho kwa ziara ya siku mbili yenye dhumuni kubwa la kuboresha mahusiano ya kiuchumi,ulinzi na usalama.

Wale wenye macho ya fursa wakati ndio sasa.

Nawasilisha.
Sema mwaakilishi wa Rais KABILA ndugu Felix Tshisekedi. Huyu ni TV tu remote ni Kabila ndani ya Ikulu ya DRC.
 
kutafuta nini dictator mpya in Africa
Lengo hapa ni kujionyesha kuwa tanzania ni manamba na ina ushawishi kwenye nchi za kiafrika ili misaada isikatwe.

Trust me utaona vioja vingi sana ili tu mzungu aendelee kutusaidia tutawaalika waafrika kutoka vichakani kote Afrika lakini lengo ni kumuonesha mzungu ushawishi wetu teh teh
 
You are right, lakini Mzungu anaona developments on the stage mwenyewe, hahitaji rubbish kama za akina Shisekedi
 
Ndugu zangu,

Rais mpya wa DRC ndugu Felix Tshisekedi atazuru nchini kesho kwa ziara ya siku mbili yenye dhumuni kubwa la kuboresha mahusiano ya kiuchumi,ulinzi na usalama.

Wale wenye macho ya fursa wakati ndio sasa.

Nawasilisha.

This is a very right approach to Tanzania. Tanzania economic cooperation is definitely in the South than North. It has a great hinterland in the south with big economies of Zambia, Malawi, and definitely DRC. Seriously we urgently need to strengthen cooperation with this block.
 
Back
Top Bottom