Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,445
- 78,611
Uko vzrChama cha Wafanyabiashara na viwanfa jiandaeni chap chap na wafanyabiashara wenu juzi Raisi kafoka kuwa hamjipangi hata business card tu mnakuwa hamnazo.Wizata ya biashara na wizara ya uchukuzi hii ziara ya kwenu nendeni na wadau wa sekta ya biashara na uchukuzi msiende na maofisa serikali waliohama suti na Makoti makubwa wakati kichwani mweupe hawajui biashara wala nini.TIC wahini na Muwe na presentation waelezeni fursa zolizopo incentives nk iandaeni brief ipelekeni ikulu ichanganywe kwenye speech ya president .Andaeni copy mbili Moja kiswahili ingine kifaransa.Sehemu zote andaeni wakalimani wa kifaransa.Ikulu pia awepo mkalimani wa kifaransa