Rais Erdoğan (Turkey) na uzalishaji wa bangi

Kweli bangi ni haraam lakini hemp oil inatokana na mbegu za bangi zilizokamuliwa na haina ulevi kama zingine ambazo wanakamua kuanzia majani, mbegu mpaka mti wa mbangi na hii ina kilevi kwa kiwango kikubwa kwa hiyo naona ni haram.

Hiyo ya mafuta ya mbegu ni nzuri na inasaidia sana na haina kilevi kwani wanatumia tone moja au mbili tu





Sent from my SM using Tapatalk

Shukurani sana mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom