Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa atua nchini, apokelewa na Rais Kenyatta


baron de montesque

baron de montesque

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
1,761
Likes
1,196
Points
280
baron de montesque

baron de montesque

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
1,761 1,196 280
RAIS WA UFARANSA ATUA NCHINI KENYA

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amempokea rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini humo ikiwa ni mara yake ya kwanza kuzuru afrika mashariki.

Rais Uhuru alimkaribisha Macron ikulu na kushuhudia uzinduzi wa gari aina Peugeot 3008 iliyoundwa nchini Kenya.

Akizungumza Ikulu jijini Nairobi, rais Uhuru amesema anataka kutengeneza taifa linalonunua vitu vilivyotengenzwa nchini humo.

‘‘ ningependa kurudia kuwa ni mpango wa serikali kuhamasisha falsafa ya nunua Kenya, Jenga Kenya .
nategemea taifa zima litakuwa likitumia magari yalioundwa hapa nchini pamoja na vifaa vyake’’ alisema Uhuru Kenyatta.

Aidha, ameongeza kuwa anamatumaini ziara ya kihistoria ya Macron nchini humo itazidisha wawekezaji kutoka Ufaransa pamoja na kuongeza watalii kati ya nchi hizo mbili.

Wakati huo huo, Kiongozi huyo wa Ufaransa amealikwa kuhudhulia maadhimisho ya miaka 25 ya mauaji ya kimbali nchini Rwanda ambayo yamepangwa kufanyika
mwezi ujao April 7.

HAPA NDIO UTAJUA NI BORA VITENDO KULIKO MANENO,WENZETU WAMESHAPIGA HATUA KUBWA SANA..sisi huku bongo tunazurura tuu🙄🙄
fb_img_1552633743261-jpg.1046039

fb_img_1552633735090-jpeg.1046040

fb_img_1552633726789-jpeg.1046041
fb_img_1552633723003-jpeg.1046042


Sent using Jamii Forums mobile app
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,933
Likes
9,941
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,933 9,941 280
Lakini kumbukeni kuwa wachina nao wapo shingoni mwao wanawadai na wanataka kuichukua bandari ya mombasa, chekeleeni lakini mtakuja jikuta tayari mmekuwa koloni la moja kwa moja la nchi flani ya ulaya ama asia.
 
baron de montesque

baron de montesque

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
1,761
Likes
1,196
Points
280
baron de montesque

baron de montesque

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
1,761 1,196 280
Lakini kumbukeni kuwa wachina nao wapo shingoni mwao wanawadai na wanataka kuichukua bandari ya mombasa, chekeleeni lakini mtakuja jikuta tayari mmekuwa koloni la moja kwa moja la nchi flani ya ulaya ama asia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,272,369
Members 489,924
Posts 30,449,122