Rais Edga Lungu wa Zambia apunguza bei ya umeme

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Kumbe inawezekana kabisa, ni utashi wa kisiasa tu unahitajika.

Rais wa Zambia amepunguza bei ya umeme kwa kiwango kikubwa kabisa.

Wakati Zambia wanashusha bei ya umeme, hapa Tanzania TANESCO wamebaki na Service charge.

Service charge for what? Wizi mtupu
 
Back
Top Bottom