upo sawaN kaka wa Tanzania's sweetheart Wema Isaack Sepetu......??? Wanaomfahamu tafadhali msaada
Wakina Wema Abraham IssacK Sepetu wana wamhusiano gani na jaji? swaliView attachment 441733
Rais Dr Shein amemuapisha Jaji Mkusa Issack Sepetu Ikulu ya Zanzibar leo kuwa Naibu Jaji Mkuu wa Zanzibar.
View attachment 441733
Rais Dr Shein amemuapisha Jaji Mkusa Issack Sepetu Ikulu ya Zanzibar leo kuwa Naibu Jaji Mkuu wa Zanzibar.
kwani?he mbona ni Mkristu jaman?
Wakristo hata Zanzibar wapo na huo ukoo wa kina Sepetu ni miongoni mwa koo kongwe za wakristo ziliopo huko. Pamoja na aliyekuwa Balozi Sepetu baba yake Wema- hawa watu walisoma siku nyingihe mbona ni Mkristu jaman?
N kaka wa Tanzania's sweetheart Wema Isaack Sepetu......??? Wanaomfahamu tafadhali msaada
Ndio maana aaishi visa...Baba mmoja na Wema Sepenga! .........Wema mtoto wa nje!!
Kwani uliambiwa Zanzibar ni jamhuri ya kiislamu?he mbona ni Mkristu jaman?