Rais Dr. Magufuli aimarisha imani ya wananchi kwa serikali

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,609
6,823
Kwa mujibu wa utafiti wa demokrasia katika nchi 167 duniani; Tanzania imeshika nafasi ya 83 (points 5.76 over 10); na pia Rais Dr. Magufuli ambaye ana 'nia ya mageuzi' ameimarisha imani ya watanzania kwenye serikali.

"Other climbers include Liberia, where the post-Ebola recovery led to an improvement in government effectiveness, and Tanzania, whose reform minded president has strengthened citizens’ trust in the government."

source: the Economist Intelligence Unite's Democracy index 2016: Revenge of the 'deplorables'; www.eiu.com
 
Jamani wasubiri tuvune, labda tutapata kitu, yaani me ninanjaa alafu niwe na imani na kiongozi wangu thubutu

Sizonjemadawa
 
Back
Top Bottom